Vita sasa ni Mbowe na Slaa

Siwapendi watu wanaohubiri ukanda, ukabila na udini popote hasa kwenye issues nyeti kama kuongoza nchi. Tutaigawa nchi vipande vipande.

Mbona Chadema wameshaigawa na sera yao ya ukanda,wewe uko nchi gani?
 
Magazeti mengine ni ya kupuuza tu, hivi hilo gazeti la TAZAMA huwa wanauza hata copy 20 nchini kote? mtu makini huwezi ukapoteza muda wako kusoma gazeti la aina ile!
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga

Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi eti jinsi ya kujiunga na freemason nimecheka sana mkuu kajiunge na futuhi you made my day ndio magazeti yetu hayo mkuu
 
Nyerere aliwahi kusema kuwa Rais bora hawezi kutoka nje ya Chama Cha Mapinduzi.

Je alikuwa na UHAKIKA kwamba CCM ya kipindi chake itaendelea kufuata maadili siku zote milele?

Hakunaga man-made thing that lasts forever. I am not a partisan person but I strongly trust kwamba CCM ya sasa kwa madudu inayoyafanya kwa nchi hii, tayari mwisho wake unakaribia either today or tomorrow, kwa makaratasi ya kura au kwa nguvu ya umma.

-KAVELI-
 

hili gazeti hata wafadhili wake wanafanana nalo,hivi kama wewe ni mkweli unaweza nunua gazeti la tazama na kulipeleka nyumbani kwako?acha ujinga kwenye mamboya kitaifa yenye maslahi kwa wanyonge
 
mwandishi na gazeti kwa ujumla hawajui walifanyalo. poleni sana.
 

Chadema yenyewe imejaa unafiki na kufukuzana,kwa stahili hii bado hakuna chama mbadala.Na watanzania hatuwezi kuruka mkojo tukakanyaga kinyesi japo vyote ni uchafu.
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga

Duh!Hili gazeti nalo lina wasomaji mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…