Vita sasa ni Mbowe na Slaa

Vita sasa ni Mbowe na Slaa

naona UCHAGA NA UKABILA UNAENDELEA KURINDIMA NDAN YA HIKO CHAMA,

SASA WAMEANZIA KWENYE UCHAGA NA UPARE,

KWENYE UDINI HIVI SASA WAMEANZIA KWENYE UKATOLIKI NA ULUTHERI SASA

THATS WHY TUNASEMA CHADEMA NI CHAMA CHA KIDINI NA KIKABILA.

Kama ilivyo CCM ni chama cha Waislam
Viongozi wa ngazi za juu CCM ni WAISLAM
 
mwandishi hajielewi,mbowe atagombeaje urais wakati ana shahada ya kwanza
 
Nyerere aliwai kusema juu ya dhambi ya ubaguzi......

Hii..... haitawaacha hata kidogo nyie baguaneni tu ....hata sisi watanzania mmetugawa tayari tulijua ndio chama ambacho kitatufikisha panapo stahili lkn sasa .........HAKUNA MATUMAINI TENA...........
 
Hivi mtoa mada na wewe ni mwandishi wa hili gazeti? Du! Nakuonea huruma sana kwa kazi ngumu ya kutunga uzushi kila wiki,
 
Taarifa zaidi zinasema shinikizo la kumtaka Mbowe
agombee kupitia MBOWE linatoka katika makundi
makuu mawili ambayo ni

nichojifunza toka kwa hilo gazeti ni kuwa kuna chama cha siasa kinaitwa ....MBOWE ........au wenzangu hamjaona hiyo?????
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga

Hahahaha nimefurahi sana.
 
View attachment 235291

Sasa mambo ni hadharani. ILE vita ya Urais wa 2015 iliyokuwa ikipiganwa kati ya Viongozi Wakuu wa Vyama vya siasa nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, maarufu kwa jina la UKAWA, sasa imehamia kwa MAFAHALI wakuu wawili ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mwenyekiti wa chama hicho , FREEMAN MBOWE anataka kugombea Urais wa 2015 kwa tiketi ya chama chake kwa udi na uvumba.

Uamuzi wa MBOWE na Wapambe wake kutaka kumuweka kando Dr. SLAA umejengwa katika misingi mitatu:

1. Ujana wa MBOWE ukilinganisha na Dr. SLAA
2. DHEHEBU lake la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT
3. Uzee na hali ya afya ya Dr. SLAA ambayo inaelezwa kudorora siku hadi siku kadri siku za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015 zinavyokaribia.

Tayari vyama viwili kati ya vinne vinavyounda UKAWA , CUF na NCCR-MAGEUZI vimekwisha kumtangaza mgombea wake wa Urais ambapo CUF wamemtangaza Prof. IBRAHIMU HARUNA LIPUMBA na NCCR-MAGEUZI wamemtangaza Dr. GEORGE KAHANGWA ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Hadi sasa CHADEMA na NLD bado hawajawatangaza wagombea wao tayari kuingia kwenye KAPU la UKAWA na wale wa CUF na NCCR ili kumpata mgombea mmoja atakayeshindana na mgombea wa CCM.

Taarifa zaidi zinasema shinikizo la kumtaka Mbowe agombee kupitia MBOWE linatoka katika makundi makuu mawili ambayo ni

1. Waumini wa KKKT
2.Wafanyabiashara wanaotoka Ukanda wa Kaskazini wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa kawaida jamii ya Mkoa wa Kilimanjaro imekuwa ikiishi katika matabaka mawili yenye misimamo isiyoingiliana kuanzia kwenye mila , desturi na tamaduni zao.

Kwa mjibu wa Mbunge mmoja wa Chadema, matabaka hayo ni ya wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wanaoishi Ukanda wa kaskazini kwa upande mmoja ambao unatamabulika zaidi kwa jina la CHAGALAND, na wananchi wanaoishi ukanda wa chini au wa kusini , ambao ni jamii ya WAPARE.

IMEELEZWA kwamba wafuasi wengi wa Chadema katika Ukanda huo wa kaskazini , ambao wengi wao ni waumini wenza wa MBOWE katika dhehebu la KKKT , wangependa kuona safari hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokana na Kanisa hilo.

Kundi la pili la Wafanyabiashara walioko nyuma ya Urais wa Mbowe , ambao wana asili ya Ukanda wa Kasakzini mwa Mkoa wa Kilimanjaro inasemekana wamekuwa ni chachu ya Nguvu ya ksiasa iliyonayo CHADEMA kwa sasa kutokana na michango ya ufadhili wa hali na mali kitoka katika jamii hiyo.

Hivyo wafanyabiashara hao wa kutokea ukanda wa Kaskazini mwa Mkoa wa Kiliamnjaro wangependa kuona Juhudi zao za kukifhadhili chama zinazaa matunda kwa kumuwezesha Mh. MBOWE kuwa mgombea urais hasa ukizingatia kuwa ni mtu kutokakatika UKANDA ambao wanatokea.

Chanzo: TAZAMA Tanzania.

Huu ni udaku tu. Hongereni kwa kujitahidi kuleta mitafaruku ndani ya CHADEMA. But hamtaweza.
 
Nyie mwaka huu mtaweweseka sana mpaka mtatafuta jinsi yakuuzuia mwezi October usifike.Kama ndio mnategemea hizo fisi zenu mtalaumiana
 
Hilo kweli TAZAMA Tanzania!! khaa ndio naliona leo ni jipya nini?
 
Akili ya mtu inapimwa vilevile kwa nukuu anazozi quote. Mleta mada katuletea gazeti la TAZAMA hivyo amejidhihirisha kwetu kuwa akili yake ni ya kiwango gani. Pole sana TataMadiba kwa kuwa na kiwango cha chini sana cha utambuzi wa mambo. Ila hujachelewa waweza kujielimisha zaidi na hii aibu ikakutoka.
 
Last edited by a moderator:
Kale udongo na ndimu

Kile CCM ilichokuwa inahubiri zamani juu ya ubaguzi wa kidini, kikanda, kikabila , rangi ndo kimeondoka na Nyerere??

Nini tubaguane jamani, tutamalizana bure. Acheni siasa rahisi hizi ni za hatari kuliko mnavyofikiria. Wanasiasa kemeeni huu ujinga utaangamiza nchi.

Hizi akili nyepesi nyepesi ni janga kwa taifa hili.
 
Siwapendi watu wanaohubiri ukanda, ukabila na udini popote hasa kwenye issues nyeti kama kuongoza nchi. Tutaigawa nchi vipande vipande.
 
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga
kwa ufupi hata hiyo habar inaweza kuwa ni ya kinajimu zaidi ya uhalisia...
 
View attachment 235291

Sasa mambo ni hadharani. ILE vita ya Urais wa 2015 iliyokuwa ikipiganwa kati ya Viongozi Wakuu wa Vyama vya siasa nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, maarufu kwa jina la UKAWA, sasa imehamia kwa MAFAHALI wakuu wawili ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mwenyekiti wa chama hicho , FREEMAN MBOWE anataka kugombea Urais wa 2015 kwa tiketi ya chama chake kwa udi na uvumba.

Uamuzi wa MBOWE na Wapambe wake kutaka kumuweka kando Dr. SLAA umejengwa katika misingi mitatu:

1. Ujana wa MBOWE ukilinganisha na Dr. SLAA
2. DHEHEBU lake la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT
3. Uzee na hali ya afya ya Dr. SLAA ambayo inaelezwa kudorora siku hadi siku kadri siku za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015 zinavyokaribia.

Tayari vyama viwili kati ya vinne vinavyounda UKAWA , CUF na NCCR-MAGEUZI vimekwisha kumtangaza mgombea wake wa Urais ambapo CUF wamemtangaza Prof. IBRAHIMU HARUNA LIPUMBA na NCCR-MAGEUZI wamemtangaza Dr. GEORGE KAHANGWA ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Hadi sasa CHADEMA na NLD bado hawajawatangaza wagombea wao tayari kuingia kwenye KAPU la UKAWA na wale wa CUF na NCCR ili kumpata mgombea mmoja atakayeshindana na mgombea wa CCM.

Taarifa zaidi zinasema shinikizo la kumtaka Mbowe agombee kupitia MBOWE linatoka katika makundi makuu mawili ambayo ni

1. Waumini wa KKKT
2.Wafanyabiashara wanaotoka Ukanda wa Kaskazini wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa kawaida jamii ya Mkoa wa Kilimanjaro imekuwa ikiishi katika matabaka mawili yenye misimamo isiyoingiliana kuanzia kwenye mila , desturi na tamaduni zao.

Kwa mjibu wa Mbunge mmoja wa Chadema, matabaka hayo ni ya wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wanaoishi Ukanda wa kaskazini kwa upande mmoja ambao unatamabulika zaidi kwa jina la CHAGALAND, na wananchi wanaoishi ukanda wa chini au wa kusini , ambao ni jamii ya WAPARE.

IMEELEZWA kwamba wafuasi wengi wa Chadema katika Ukanda huo wa kaskazini , ambao wengi wao ni waumini wenza wa MBOWE katika dhehebu la KKKT , wangependa kuona safari hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokana na Kanisa hilo.

Kundi la pili la Wafanyabiashara walioko nyuma ya Urais wa Mbowe , ambao wana asili ya Ukanda wa Kasakzini mwa Mkoa wa Kilimanjaro inasemekana wamekuwa ni chachu ya Nguvu ya ksiasa iliyonayo CHADEMA kwa sasa kutokana na michango ya ufadhili wa hali na mali kitoka katika jamii hiyo.

Hivyo wafanyabiashara hao wa kutokea ukanda wa Kaskazini mwa Mkoa wa Kiliamnjaro wangependa kuona Juhudi zao za kukifhadhili chama zinazaa matunda kwa kumuwezesha Mh. MBOWE kuwa mgombea urais hasa ukizingatia kuwa ni mtu kutokakatika UKANDA ambao wanatokea.

Chanzo: TAZAMA Tanzania.

NCCR Mageuzi hawajatangaza mgombea uraisi ila vijana wa NCCR mageuzi walikwenda kumwomba achukue fomu ya kugombea uraisi usipotoshe watu
 
Back
Top Bottom