SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Slaa ajaribu ubunge tena, hao wachaga watamtoa roho!
Mbowe aliingia ikulu itaungua
naona UCHAGA NA UKABILA UNAENDELEA KURINDIMA NDAN YA HIKO CHAMA,
SASA WAMEANZIA KWENYE UCHAGA NA UPARE,
KWENYE UDINI HIVI SASA WAMEANZIA KWENYE UKATOLIKI NA ULUTHERI SASA
THATS WHY TUNASEMA CHADEMA NI CHAMA CHA KIDINI NA KIKABILA.
Gazeti la aina hii linatakiwa litafute waandishi watafiti kwani inaonekana waandishi wake ni wavivu wa kufikiri na kutafuta habari
Nani amchague Mbowe,Hivi ndani ya Chadema hamna mtu mwingine wa kusimama kwenye nafasi hiyo?
Ndio maana Nyerere aliwatia adabu. Mzimu wake utawatafuna hadi mtakapoingia kaburini.
Mbowe elimu inamzuia hata kuwa mwenyekiti wa mtaa
Ndio maana Nyerere aliwachinjilia mbali wavaa vipedo kwa kuifutilia mbali mahakama ya KADHIANyerere aliwai kusema juu ya dhambi ya ubaguzi......
Hii..... haitawaacha hata kidogo nyie baguaneni tu ....hata sisi watanzania mmetugawa tayari tulijua ndio chama ambacho kitatufikisha panapo stahili lkn sasa .........HAKUNA MATUMAINI TENA...........
Mbowe mnamchukia sababu ya dini yake tu. Akiwazuga akafanya kama Alhaji Membe mtampenda
Nyerere aliwahi kusema kuwa Rais bora hawezi kutoka nje ya Chama Cha Mapinduzi.
Hatumchukii bali hatoshi kwenye nafasi ya urais.Tuwe wakweli,tusiogope kuitwa wasaliti.
Hilo kweli TAZAMA Tanzania!! khaa ndio naliona leo ni jipya nini?
Kale udongo na ndimu