Vita sasa ni Mbowe na Slaa

Vita sasa ni Mbowe na Slaa

muda si mrefu huyu naye watamtoa knock out, chama ni chetu mangi, tena kimeshakua namna hii, lasima tuingie ikulu sisi tu arawa.

lakini huyu babu wa kimang'ati si ndo wanadai anakubalika sana,kwanini msimwachie agombee tu yeye?
 
Spinning Doctors at work.......Nchi imekuwa ya kidini sasa..Katoliki wanamtaka Rais wao...Walutheri pia.....vipi anglicana na pentekote????Waislamu wao Mahakama ya kadhi baada ya hapo kitafuata nini.......Nchi iko pabaya.
 
naona UCHAGA NA UKABILA UNAENDELEA KURINDIMA NDAN YA HIKO CHAMA,

SASA WAMEANZIA KWENYE UCHAGA NA UPARE,

KWENYE UDINI HIVI SASA WAMEANZIA KWENYE UKATOLIKI NA ULUTHERI SASA

THATS WHY TUNASEMA CHADEMA NI CHAMA CHA KIDINI NA KIKABILA.
 
Chadema wanashangaza sana

VIONGOZI WA MAANA KAMA KINA PROF ABDALLAH SAFARI NA ZITO KABWE WANADHARAULIWA,KISHA VIONGOZI WAJINGA KAMA MBOWE FORM 6 FAILURE NA SLAA PADRE ALIEFELI ETI NDIYO WANAONEKANA WATU WENYE TIJA KWAO,

NI KUKOSA AKILI TUH
 
Jarida la tazama linaendeshwa kwa habari za CHADEMA siku chadema ikifa na lenyewe linakufa.
 
Anayekula nyama za watu haachi. Sasa hivi mbowe anakula nyama ya slaa na slaa anakula nyama ya mbowe
 
Mama wa vita vyote (mother of all battles) yuko CCM. Hii vita haina mshindi na lazima itakirarua chama. Mamvi ameweka jeshi lake imara na anazo silaha za kisasa kabisa kupambana na fitna zote dhidi yake. Kwa upande mwingine joka la mdimu baada kuona jeshi lake linaelemewa na lile la mamvi ameamuamua kuunda alliance na wababe wengine WA kivita akina six na wenzake ambao wamepeleka wanamgambo wao kwenda kupigana sambamba na jeshi la joka la mdimu.Silaha zinazotumika kwenye vita hii ni rushwa,vyombo makanjanja vya habari,ushirikina,viongozi njaa wa dini,pesa chafu kama za escrow,kuchafuana na Hata silaha za sumu. Inasemekana Hata kamanda wa majeshi ya mamvi mzee wa msituni aliyefariki dunia ghafla hivi karibuni alipewa sumu na majasusi wa vikosi vya joka la mdimu.Propaganda kwamba CHADEMA au UKAWA kuna vita si za kweli ila maccm wanataka kuficha vita vinavyoendlea kwenye chama chao.
 
Hili nalo ni gazeti la ku quote jamani,eti jinsi ya kujiunga na freemason,eti taulo la kaseja hahahaha..hili sio gazeti la yule mtabiri kweli?
 
Hivi ninlile gazeti linaloandikiwa store na kuuzwa mwisho magomeni?

Hilo gazeti si sawa tu na Sani au Facebook ambako kila mwenye akaunt amaandika
 
Mwandishi wa nakala hii HANA akili hata chembe na HAJUI lolote kuhusu katiba ya TZ

Katiba ya TZ inasema mgombea wa kiti cha Rais LZM awe na at least shahada ya kwanza kutoka chuo kinacho tambuliwa

Mbowe ana degree? TataMadiba acha kujitia tu aibu kama Shonza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom