PreGE2025 Vita ndani ya CHADEMA imeanza rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
5,922
Reaction score
4,715
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
 
Tulia dogo. Tanzania ina mimba kubwa, inakaribia kujifungua.
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
Hii sio vita na hakuna vita yeyote. Hili ni jambo la kawaida sana kutokea wakati huu kwa sababu siasa za Tanzania zinahitaji Wanasiasa serious wanaoguswa kweli na matatizo ya watanzania na sio madalali wa kisiasa.
 
kwani amefukuzwa chama!
 
Wewe ni Masawe tu utabaki kua Masawe
 
Hii sio vita na hakuna vita yeyote. Hili ni jambo la kawaida sana kutokea wakati huu kwa sababu siasa za Tanzania zinahitaji Wanasiasa serious wanaoguswa kweli na matatizo ya watanzania na sio madalali wa kisiasa.
Naweza kukutajia List ya Mapandikizi Chadema ukaishia kulia dogo

Hizo ni porojo tu na mpasuko huu wala amataamini

Baada ya Catherine Ruge CPA

Mfukuzeni Sugu, Wenje , Boni Yai

Wote hao wanapinga no Election

Myika kijana wa... Si mdebwedo?
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania

..Reforms wanazozipigania Chadema zina ubaya gani mpaka iwe vigumu kuzitekeleza?

..Reforms wanazozipigania Chadema watawanufaisha waliomuunga mkono Lissu ktk Uenyekiti, au Watanzania wote kwa ujumla?
 
Naweza kukutajia List ya Mapandikizi Chadema ukaishia kulia dogo

Hizo ni porojo tu na mpasuko huu wala amataamini

Baada ya Catherine Ruge CPA

Mfukuzeni Sugu, Wenje , Boni Yai

Wote hao wanapinga no Election

Myika kijana wa... Si mdebwedo?
Vyovyote vile. Jueni Tundu Lissu ndo mshindi maana ajenda anayosimamia si ajenda ya maslahi binafsi bali ajenda ya kuleta mabadiliko ya kweli Tanzania ambayo yatahakikisha wananchi wanapata maendeleo ya kweli.

Haijalishi mamluki na mapandikizi mpo wangapi? Tundu Lissu hakupinywa risasi na Mungu ili azurure tu. Kazi yake ni kutumika kuikomboa kweli Tanzania na hata muende wapi na muwe na nani jueni Watanzania wote wako nyuma yake.

Mtaishia kupewa laana kama sio kupotezwa kabisa.
 
Dogo umekula?
Lissu upo nyuma yake?

Bado uijui vyema siasa ya Tanzania dogo.
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
Bahari haikai na uchafu, hawa G55 na covod19 jiandaeni kuwapokea huko kwa majizi ccm.
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
 
Attachments

  • c0167627d1abba2f172dc4ab273e1d9a_1743440742441.mp4
    1.1 MB
Kwangu wewe ndo dogo. Miaka 45 anaweza kuwa dogo?

Endelea kuishi kwa kukariri. Tutakumbushana humu. Watu wako serious kuliko unavyodhani kuliondoa Taifa hili kwenye ujinga na utapeli wa CCM.
Huyo ni redio kuuubwaaa kama meza ila ni bendi moja.Fuatilia uandishi wake.
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania

Tatizo hiyo 47 ni wajumbe.

Wanachama wa CHADEMA asilimia 90 wapo na Lisu
Hata uitishe Kura Leo.

Hao wajumbe 47% hawana uwezo wowote na wao wanajua Hilo
 
Back
Top Bottom