fexcash
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 547
- 1,014
Pamoja kana kwamba anaweza kuwa kibaraka kama unavyosema wewe.Lissu hana nia ya dhati mnayozungumza
Yule ni Kibaraka tu anaetumika na Church de rome kulinda maslahi yao.
Lakini nikuambie tu sisi wananchi ndio tunaotaka mabadiriko, zama zimebadirika sana sasa tunataka kiongozi ashide kwa kura za wananchi sio kuwekwa na chama chake.
Tuwe na tume huru ya uchaguzi.