PreGE2025 Vita ndani ya CHADEMA imeanza rasmi

PreGE2025 Vita ndani ya CHADEMA imeanza rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uwezu wenu wakujibu kwa hoja ni mdogo sana, akili zenu ni kama wanyama wa msituni, huwa anashambulia sababu ameshindwa kutafsiri image aliyoiona.
Mdogo wangu inawezekana Huna shule na ndio maana akili yako haiwezi ku battle na mimi kwa hoja pia punguza makasiriko mimi sio ninayekulipa ujira mdogo ila unalipwa kutokana na udogo wa akili yako.
Hivyo vimaneno vyenu vyakucopy humu JF unamwambia kila mtu ni kukengeuka.
Ondoka sebuleni kwa shemj yako unapolala kama panya

Uwe na adabu dogo
 
Unazaliwa mwaka 94 tena moshi vijijini huko, kilichokufanya umefika dar ni ki institute hicho ulichosemea bachelor of insurance upumbavu mtupu.
Jf imekupa platform yakuweza kutukana baba wenye nyumba wako.
Kuwa CCM sio dhati ila dhambi ni kuwa ccm na kuwa mpumbavu. Unamizigo miwili kichwani.
Wewe boya tu

Wewe ulifika dar kwa msaada wa shemj yako unalala sebuleni mpala leo
 
Pamoja kana kwamba anaweza kuwa kibaraka kama unavyosema wewe.
Lakini nikuambie tu sisi wananchi ndio tunaotaka mabadiriko, zama zimebadirika sana sasa tunataka kiongozi ashide kwa kura za wananchi sio kuwekwa na chama chake.
Tuwe na tume huru ya uchaguzi.
nyie ni wananchi wepi na sisi ni wananchi gani? uchaguzi utafanyika, ila katiba inawaruhusu kutoshiriki uchaguzi, sasa usilazimishe kuwa hiyo ni ajenda inayo mhusu kila mmoja, mi nitashiriki uchaguzi kikamilifu, na nita support Chadema kutoshirika mpaka next election 2030
 
Dada habari! I really miss you a lot.
We mtoto mbona umepotea sana?? 🥹
Hebu njoo nikuhug 😍😍

Mpaka nilihisi wamekuteka, uwe unatoa taarifa kwa dada yako..!! Umenitia wasiwasi sana….!
 
We mtoto mbona umepotea sana?? 🥹
Hebu njoo nikuhug 😍😍

Mpaka nilihisi wamekuteka, uwe unatoa taarifa kwa dada yako..!! Umenitia wasiwasi sana….!
❤️😍 Nipo dada yangu kipenzi. Nisamehe jamani, mambo yalikuwa mengi ila taarifa utakuwa unaipata kwa wakati kuanzia sasa. How have you been..? Vibuyu bado wapo au wamepungua.??😂
 
❤️😍 Nipo dada yangu kipenzi. Nisamehe jamani, mambo yalikuwa mengi ila taarifa utakuwa unaipata kwa wakati kuanzia sasa. How have you been..? Vibuyu bado wapo au wamepungua.??😂
Nimekusamehe nilikumiss sana pande hizi, vibuyu wanazidi kuongezeka sasa hivi wamejitokeza wengine wanajiita G55 😹😹

Nipo mwingi humu naendelea kuwapatia dose vibuyu wote bila kuchagua rangi wala kabila..!! 🤣
 
Mimi napenda sana mtu aliyesimama katika KWELI.Mfano no R no E ilipitishwa na baraza kisha ikaenda kamati kuu,hatimaye mkutano mkuu mbowe akiwa mwenyekiti.Sasa kwa nini g55 haikuanzishwa wakati huo?Hoja za no r no e in za chadema na watanzania wengi wanazikubali sababu dosari zilitokea mbele zao.Ila yeye amedhubutu kuzizungumuzia waziwazi pasipo uoga kwa sababu ni za kweli.Mi sijali nani anatuongoza lakini aongoze katika haki na kweli.
 
Wewe boya tu

Wewe ulifika dar kwa msaada wa shemj yako unalala sebuleni mpala leo
🤣🤣🤣 naona unajisemea mwenyewe sababu umeolewa wewe na dadako inaonekana unaumia sana mpaka unawish wote tuishi kama ww mbwa mmoja.
 
Kitoto cha simbilisi uliyezaliwa 94 unakuja kubwekea babazako kum*mbenye
 
🤣🤣🤣 naona unajisemea mwenyewe sababu umeolewa wewe na dadako inaonekana unaumia sana mpaka unawish wote tuishi kama ww mbwa mmoja.
Wewe boya mara wewe baba mwenyewe nyumba mara nina dada

Haha huna unachojua zaidi

Weka id yako org hapa uone kima wewe
 
maCCM yashaanza milio!!👿 Tulieni dawa iwaingie vizuri!!! No Reforms no Election
Hili bandiko haja lileta mwana CCM, limeletwa na mwana Chadema anaye muunga mkono Mbowe. Full stop.
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
chama kitamfia kam tlp
 
Usichojua

Lema , Lissu ni wahamiaji haramu tu kama alivyo msigwa Ccm
Unasema kwa kutoa kifungu kipi? Sisi tunaangalia mchango wao kwa chama chao. Acha uongo na ubaguzi. Wananchi tupo nao mpaka kieleweke.
 
Unasema kwa kutoa kifungu kipi? Sisi tunaangalia mchango wao kwa chama chao. Acha uongo na ubaguzi. Wananchi tupo nao mpaka kieleweke.
Chadema asilia wapo Upande wa FAM

Akina Lissu wana zile tabia za Kilichokiua Nccr ndg na TLP
 
Back
Top Bottom