PreGE2025 Vita ndani ya CHADEMA imeanza rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naweza kukutajia List ya Mapandikizi Chadema ukaishia kulia dogo

Hizo ni porojo tu na mpasuko huu wala amataamini

Baada ya Catherine Ruge CPA

Mfukuzeni Sugu, Wenje , Boni Yai

Wote hao wanapinga no Election

Myika kijana wa... Si mdebwedo?
Unajifariji tu vyama viko vingi waende huko wakagombee

Kwanini wanaogopa kwenda vyama vingine, hao uliowataja hapo wanabebwa na Chama hawana ushawishi wowote

No Reform No Election ilikua ni biashara ya Mbowe alishaidiwa kupewa majimbo na aliehayagawa kwa hao vijana wake, akaleta ujuaji wa kumleta Wenje amu Chalenge Lissu, Akanyooshwa biashara ikaishia hapo

Mpango wao wa sasa ni kuendeleza hiyo biashara yao haramu maana wanajua watapewa majimbo.

Mbowe kafa kibudu
 
Lissu ana nguvu ya Umma, hao G55 wana nguvu zao!!. Ccm mwaka hata km watashinda ila maji lazima wayaite Mmaa!!, Lissu sio mchumia tumbo kama mzee wa ruzuku ambaye ndio kinara wa kupoteza direction ya chama. Ogopa sana joka la makengeza ni hatari....
 
Namuonea huruma Lissu energy kubwa anayotumia kuikomboa mi mtu ya Tz mingi ni chawa sugu, njaa kali, mibinafsi, mipenda rushwa, mizandiki na wapiga majungu, wafitini who doesn't deserve to be served. Anapoteza muda wake bure tu
 
Lissu asonge mbele asitishwe na hao wanakikundi walio kinyume naye. Watayeyuka na kushindwa vibaya uzabinazabina wao. No matter chama kinapitia kipindi kigumu kutokana kuwepo mpasuko tangu uchaguzi wao ufanyike. Ile dhana ya kuponya majeraha haina maana kutokana na dhamira ya wanakikundi wanaotaka kuuodhofisha uongozi wa Lissu
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
"Awapo" ndio nini.
Hivi hao wanaowaajiri nyie msiojua hata kuandika wanajielewa kweli?.
 
Unajifariji tu vyama viko vingi waende huko wakagombee

Kwanini wanaogopa kwenda vyama vingine, hao uliowataja hapo wanabebwa na Chama hawana ushawishi wowote

No Reform No Election ilikua ni biashara ya Mbowe alishaidiwa kupewa majimbo na aliehayagawa kwa hao vijana wake, akaleta ujuaji wa kumleta Wenje amu Chalenge Lissu, Akanyooshwa biashara ikaishia hapo

Mpango wao wa sasa ni kuendeleza hiyo biashara yao haramu maana wanajua watapewa majimbo.

Mbowe kafa kibudu
Kwamba wewe una ushawishi kumzidi Sugu?

Aisee
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
Maisha ni vita hata ccm na familia yako zipo vita deile so relax kijana uvccm usiogope Simba yupo mstari wa mbele kbs
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
Wewe ni CHAWA WA CCM ,WEWE NI MALAYA WA KISIASA .

CHADEMA INAKUHUSU NINI?UCHAGUZI TUMEWAACHIA KINACHOKUUMA NI KIPI ?
 
Laana ipi mkuu, na ni nani atakayetoa laana kwa kumpinga LISSU, Je, anao uwezo wa kulaani watu wote hao?
Vyovyote vile. Jueni Tundu Lissu ndo mshindi maana ajenda anayosimamia si ajenda ya maslahi binafsi bali ajenda ya kuleta mabadiliko ya kweli Tanzania ambayo yatahakikisha wananchi wanapata maendeleo ya kweli.

Haijalishi mamluki na mapandikizi mpo wangapi? Tundu Lissu hakupinywa risasi na Mungu ili azurure tu. Kazi yake ni kutumika kuikomboa kweli Tanzania na hata muende wapi na muwe na nani jueni Watanzania wote wako nyuma yake.

Mtaishia kupewa laana kama sio kupotezwa kabisa.
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
Chadema ni chama cha wananchi ,wapangao mipango ovu wakesha bure.

Ikimbukwe ikumbukwe mwanzo yalikepo maneno kwamba kuna sehem pesa zitaminywa na waone viongozi wapya watapata wapi pesa za kuendesha chama.

Ghafla ikaja Tone Tone, maana nyingine watu m1 kila mmoja kwa mwezi akachangia elfu 20 ni mabilion ya sh.

Watashindana ila hawatashinda , hawa lengo lao walitaka kupiga chapa chama ,kwamba viongozi wa sasa wawe kama midoli ,huku maamuzi ya kuendesha chama yatoke kwao ,hilo halipo kamwe
 
Lissu ana nguvu ya Umma, hao G55 wana nguvu zao!!. Ccm mwaka hata km watashinda ila maji lazima wayaite Mmaa!!, Lissu sio mchumia tumbo kama mzee wa ruzuku ambaye ndio kinara wa kupoteza direction ya chama. Ogopa sana joka la makengeza ni hatari....
Yaani upambane na mtu, akushinde halafu aliyekushinda maji ayaite mmaa! Akili za wapi hizo we mzee, mbona mnaanza kunyoosheana vidole mapema? Mara hii kamanda mbowe amekuwa joka la makengeza? Mnabaguana wenyewe kwa wenyewe halafu mtegemee kupewa nchi..
 
Hata ikifika hatua Tundu A LISSU akabaki pekeyake, sisi watanzania tunayoiona nia yake ya dhati yakutupambania tutasimama nae.
Hawa G55 kama wanavyojiita wanajifanya wanamaono ila ni njaa tu.
Watanzania tunashinikiza serikali ianze mchakato wa mabadiliko ya katiba ya uchaguzi lasivyo hatutapiga kura.
 
Lissu hana nia ya dhati mnayozungumza

Yule ni Kibaraka tu anaetumika na Church de rome kulinda maslahi yao.
 
Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea

Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio Chadema Halisia.

Vita Ni Chadema Halsia Vs Chadema Harakati

Wanaosuka Mpasuko Huu wanausuka kisayansi na Kwa kujua ni Lissu ni Mtu wa Jazba na Mshauri wake Mkuu Lema kuna mtu ataomba maji na sanda soon.

Catherine Ruge Out.

Who Next??

GM Lindi Tanzania
🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom