Vita na Bishanga!!!

Mi nina msimamo wa kati,
Erickb52 lile gari tunalotumia kwenye safari zetu za kusuluhisha ndoa si unajua ametoa Bishanga kama msaada kwa jf.
Mamndenyi najua wala sina hofu coz hata huku niliko na The secretary gari tunalotumia ni la Bishanga alimpa mkewe wakati kazimika na tunakula good time kwa gharama za huyo mzee Bishanga tajiri wa kihaya anayetesekea mapenzi yan hajawahi kuenjoy hata siku moja
 
Last edited by a moderator:
utajiri wenyewe wa juju kulala unalala chini
tena huruhusiwi kulala bila nguo, ataenjoy nini hapo tena.

 
jg usiparamie msitu na kiwembe,utaumia.Wa kwenda fesi buku kwa akina erick nani? bishanga ndo umslopogas wa jf,gongeni kifua chake mparanganyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…