View attachment 1727237Kushoto Ndiye Mrembo aliyekamata Headlines Mitandaoni akitokea nchini Ufaransa ambapo Anadai amekuja Bongo kwa ajili ya Diamond ...Baada ya Kutua Nchini alifanikiwa kuonana na SHILOLE ambaye ndiye alimfikisha mikononi mwa Diamond tena hadharan baada ya domo kumaliza kuongea na waandishi wa habari..Tukio hili limeibua Taswira Mpyaa Kwani Diamond na Familia yake wameonesha wazi kuwa Hawajafurahishwa na Ujio wa Mwanamke Huyo huku maneno ya chini nchini yakisema Ana NIA OVU Dhidi ya Diamond