Vita mpya: CHADEMA watuhumiwa kumfadhili Abdul Nondo kumng'oa Zitto Kabwe Kigoma Mjini

Nondo si wa kulinganishwa na Zitto uwe usiku uwe mchana
Nondo hajakomaa kisiasa bado (bado sana)
Mnatengeneza fitina watu wa Kigoma waanze kufikiri ndivyo sivyo
Kama Nondo umewatuma hawa waje kukupigia debe humu just to let you know 'you still have a long way to go'
Siasa wewe bado sana
Soma shule kwanza
Usikurupuke kuomba huruma kwa WaTz kwa vile ulipitia kurupushani fulani hivi haikuwa na mgumu wala kichwa.
Personal opinion****
Hata Zitto kipindi anaanza hakuwa amekomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui kama mleta uzi unaelewa namna chaguzi zinavyoendeshwa kwa sasa au hujui magari ya wakurugenzi huwa yanawekewa mafuta na nani
 
Hako ka nondo kenyewe hakajarejea chuo mpaka sasa ndo maana mnaona kanatangatanga mara Dar mara Kigoma.

Usiniulize kwa nini hakajarejea chuo bali kakaulizeni kwa nini kalijiteka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mbinu yako NW? Kuamka alfajiri na kuchombeza thread zako ili ziwe hai kama topic of the day? Amka na fikra mpya mama! Jee una stress zinakusumbua hadi umejawa uzandiki? Umeachwa hivyo una nyemvuliwa nyemvuliwa? Mbona wakukuponya wapo wengi tuu! Nenda inbox Kwa Pascal Mayalla maana vyeupe dawa ndio ugonjwa wake utapata tiba.
Nimeona nilwambie maana umetuchosha, wewe Kwa nafasi uliyo nayo itumie JF kwa kuja na concrete ideas zenye ufikirishi watu wafaidike sio mambo ya siasa za "kimalaya malaya" kama alivyo sema mwalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kijana ameamua kupambana na chama imemkubali shida ipo wapi hapo? Au unafikiri Zitto nimuoga kama jiwe? Wananchi wataamua wanamkubali nani zaidi ndo democracy hiyo sijui wapi ww umeona kuna shida au ni taarifa umetoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda inbox Kwa Pascal Mayalla maana vyeupe dawa ndio ugonjwa wake utapata tiba zenye mambo za "kimalaya malaya"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Chakaza, ukiujua udhaifu wa mtu, kuwa ni dhaifu kwa mambo fulani, kuusema huo udhaifu huku unamtaja mtu kwa jina, kama ulivyofanya hapa, huku sio kunitendea haki, kwani huu sio tuu ni unyanyapaa kuninyanyapalia udhaifu wangu kupenda vyeupe, bali unaniharibia, bila wewe kujijua, kwa sababu wale jamaa wa verting wanashinda humu jf, hivyo kwenye file langu, kile kipengele cha strengths and weakness, wamendika jamaa ni very weak kwenye mambo yetu yale na haswa kwa "cheupe dawa", matokeo ile mamlaka ikisoma tuu hapo, mwenzenu nawekwa pembeni, nakukosa ulaji, na sababu yenyewe ya kukoseshwa ulaji sio kwa ajili ya udhaifu huo utaharibu, bali ni kwa sababu kuna baadhi ya waliopewa ulaji, sifa yao kuu ni ule ule weupe wao, na wamepewa sio ili wadeliver, maana kuna wengine hawawezi kudeliver chochote zaidi ya zile services, hivyo kuwaleta karibu watu wenye udhaifu huo huo ni sawa na kuleta chui kwenye zizi lako la kondoo wa nyama, vikondoo vyenyewe vyenye madoa doa, vinahesabika, hivyo matokeo yake mwenzenu napigwa chini.
Chakaza Tusiharibiane...ungeweza kusema tuu kuwa wenye udhaifu huo ni wengi, wafuate inbox bila kutaja majina, ingetosha.

P
 
jf sitoki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

CCM imeendelea kujiimarisha katika mji wa Kigoma katika mustakabali wa Jimbo la Kigoma.

Muda utatujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maoni yangu, kwa political landscape ya siasa za Tanzania kuelekea 2020, kama kutatokea mpinzani yoyote kurudi Bungeni, then ni Zitto Zuberi Kabwe, CCM hata mdhikir uchi, Zitto hamuwezi kumn'goa,

Namna pekee kwa CCM kulitwaa Jimbo la Kigoma, ni endapo Zitto atateuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, japo Chadema wanamatumaini na Tundu Lissu, mimi tayari naijua taarifa ya mwisho ya madaktari wa Lissu itamshauri nini, unless ni Lissu mwenyewe alazimishe kugombea kusaka sympathetic votes, lakini Zitto ndio the one and only mtu mwenye the ability and the capability to stop that man, with more comparative advantages than Lissu, tatizo ni sina uhakika kama Chadema na vyama vinavyounda ukawa, vina watu wenye such vision na ma think tanks wa ukweli kuwasaidia.

Hili likitokea hapo ndipo CCM italitwaa jimbo la Kigoma, kama limeokota dodo chini ya mti wa mnazi.

P.
 
Mkuu Chakaza, ukiujua udhaifu wa mtu, kuwa ni dhaifu kwa mambo fulani, kuusema huo udhaifu huku unamtaja mtu kwa jina, kama ulivyofanya hapa, huku sio kunitendea haki, kwani huu sio tuu ni unyanyapaa kuninyanyapalia udhaifu wangu kupenda vyeupe, bali unaniharibia, bila wewe kujijua, kwa sababu wale jamaa wa verting wanashinda humu jf, hivyo kwenye file langu, kile kipengele cha strengths and weakness, wamendika jamaa ni very weak kwenye mambo yetu yale na haswa kwa "cheupe dawa", matokeo ile mamlaka ikisoma tuu hapo, mwenzenu nawekwa pembeni, nakukosa ulaji, na sababu yenyewe ya kukoseshwa ulaji sio kwa ajili ya udhaifu huo utaharibu, bali ni kwa sababu kuna baadhi ya waliopewa ulaji, sifa yao kuu ni ule ule weupe wao, na wamepewa sio ili wadeliver, maana kuna wengine hawawezi kudeliver chochote zaidi ya zile services, hivyo kuwaleta karibu watu wenye udhaifu huo huo ni sawa na kuleta chui kwenye zizi lako la kondoo wa nyama, vikondoo vyenyewe vyenye madoa doa, vinahesabika, hivyo matokeo yake mwenzenu napigwa chini.
Chakaza Tusiharibiane...ungeweza kusema tuu kuwa wenye udhaifu huo ni wengi, wafuate inbox bila kutaja majina, ingetosha.

P

Msamehe bure kwani huyo kishaaminishwa kuwa wewe na jamaa zako mnaotoka kule kanda huwaga hamuwezi kuruka kiunzi chenye utepe mweupe na kibaya zaidi wewe mwenyewe ni shahidi kama ulivyodadavua hapo juu3
 
Msamehe bure kwani huyo kishaaminishwa kuwa wewe na jamaa zako mnaotoka kule kanda huwaga hamuwezi kuruka kiunzi chenye utepe mweupe na kibaya zaidi wewe mwenyewe ni shahidi kama ujivyodadavua hapo juu
Ni kweli huu ni udhaifu mkubwa sana kwa watu wa pande sio siri, ninacho lalamikia mimi ni kuharibiana kwa kutajana majina, watu wengine wameutumia udhaifu huo kama ngazi ya kupandia, ndio wakakwea na kulamba ulaji, sasa unapowataja kwa majina, mafisi wengine wenye udhaifu huo, kunawaharibia, maana kuna wengine wana tabia za mnyama simba mbugani, hutembea kwa makundi, ukikuta kundi la simba mbugani, ujue dume ni moja tuu. Hata vitoto vya kiume vikikua na kuanza kupanda, vinafukuzwa kwenda kuanzisha miji yao, hivyo nimemuomba jamaa Tusiharibiane.
P
 
Ndio mbinu yako NW? Kuamka alfajiri na kuchombeza thread zako ili ziwe hai kama topic of the day? Amka na fikra mpya mama! Jee una stress zinakusumbua hadi umejawa uzandiki? Umeachwa hivyo una nyemvuliwa nyemvuliwa? Mbona wakukuponya wapo wengi tuu! Nenda inbox Kwa Pascal Mayalla maana vyeupe dawa ndio ugonjwa wake utapata tiba.
Nimeona nilwambie maana umetuchosha, wewe Kwa nafasi uliyo nayo itumie JF kwa kuja na concrete ideas zenye ufikirishi watu wafaidike sio mambo ya siasa za "kimalaya malaya" kama alivyo sema mwalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya mada acha kulialia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Chakaza, ukiujua udhaifu wa mtu, kuwa ni dhaifu kwa mambo fulani, kuusema huo udhaifu huku unamtaja mtu kwa jina, kama ulivyofanya hapa, huku sio kunitendea haki, kwani huu sio tuu ni unyanyapaa kuninyanyapalia udhaifu wangu kupenda vyeupe, bali unaniharibia, bila wewe kujijua, kwa sababu wale jamaa wa verting wanashinda humu jf, hivyo kwenye file langu, kile kipengele cha strengths and weakness, wamendika jamaa ni very weak kwenye mambo yetu yale na haswa kwa "cheupe dawa", matokeo ile mamlaka ikisoma tuu hapo, mwenzenu nawekwa pembeni, nakukosa ulaji, na sababu yenyewe ya kukoseshwa ulaji sio kwa ajili ya udhaifu huo utaharibu, bali ni kwa sababu kuna baadhi ya waliopewa ulaji, sifa yao kuu ni ule ule weupe wao, na wamepewa sio ili wadeliver, maana kuna wengine hawawezi kudeliver chochote zaidi ya zile services, hivyo kuwaleta karibu watu wenye udhaifu huo huo ni sawa na kuleta chui kwenye zizi lako la kondoo wa nyama, vikondoo vyenyewe vyenye madoa doa, vinahesabika, hivyo matokeo yake mwenzenu napigwa chini.
Chakaza Tusiharibiane...ungeweza kusema tuu kuwa wenye udhaifu huo ni wengi, wafuate inbox bila kutaja majina, ingetosha.

P

nimecheka eti vikondoo vingine vina vina “madoa madoa” A.K.A. Vidoti vidoti
Halafu umesema ukweli mtupu kuwa uwezo wa kufanya kazi wenye kuleta tija hawana !
Imekuwa kama viburudisho tu (kwa sauti ya Masanja Mkandamizaji)!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Chakaza, ukiujua udhaifu wa mtu, kuwa ni dhaifu kwa mambo fulani, kuusema huo udhaifu huku unamtaja mtu kwa jina, kama ulivyofanya hapa, huku sio kunitendea haki, kwani huu sio tuu ni unyanyapaa kuninyanyapalia udhaifu wangu kupenda vyeupe, bali unaniharibia, bila wewe kujijua, kwa sababu wale jamaa wa verting wanashinda humu jf, hivyo kwenye file langu, kile kipengele cha strengths and weakness, wamendika jamaa ni very weak kwenye mambo yetu yale na haswa kwa "cheupe dawa", matokeo ile mamlaka ikisoma tuu hapo, mwenzenu nawekwa pembeni, nakukosa ulaji, na sababu yenyewe ya kukoseshwa ulaji sio kwa ajili ya udhaifu huo utaharibu, bali ni kwa sababu kuna baadhi ya waliopewa ulaji, sifa yao kuu ni ule ule weupe wao, na wamepewa sio ili wadeliver, maana kuna wengine hawawezi kudeliver chochote zaidi ya zile services, hivyo kuwaleta karibu watu wenye udhaifu huo huo ni sawa na kuleta chui kwenye zizi lako la kondoo wa nyama, vikondoo vyenyewe vyenye madoa doa, vinahesabika, hivyo matokeo yake mwenzenu napigwa chini.
Chakaza Tusiharibiane...ungeweza kusema tuu kuwa wenye udhaifu huo ni wengi, wafuate inbox bila kutaja majina, ingetosha.

P
Kwi kwi kwi, nimecheka ulivyo in quote kisha ukatengeneza ka drama Fulani kiaina!
Bwana acha tuharibu ili uteuzi usikupate kabisa. Utashindwa kuishibisha JF wakati unategemewa kuipa chakula chake fresh kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom