Vita mpya: CHADEMA watuhumiwa kumfadhili Abdul Nondo kumng'oa Zitto Kabwe Kigoma Mjini

Ndugu zangu,

Vita mpya ya kisiasa kati ya vyama vya upinzani imeshika kasi mjini Kigoma ambapo mara hii kijana Abdul Nondo anayeaminika kufadhiliwa na Chadema kanyanyua silaha za kisiasa dhidi ya Zitto Kabwe.

Chadema ambayo sasa inatamani kurudi katika zama za kuungwa mkono na vijana baada ya kupoteza hadhi hiyo miongoni mwa Watanzania katika miaka ya karibuni.

Kijana Abdul Nondo alitokea kuwa maarufu baada ya kuwa kiongozi wa mtandao wa wanafunzi wa elimu ya juu na zaidi baada ya kuibuka na kashfa ya "kujiteka" ili kupata umtaarifu wa kisiasa tuhuma ambazo alisafishwa na korti na hatimaye kurudi kuendelea na masomo ya shahada ya kwanza UDSM ambapo anatarajia kumaliza mwezi Juni mwaka huu (2019).

Abdul Nondo ambaye yupo mjini Kigoma amekuwa akipita katika magenge maarufu kutafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 ambapo inaaminika anapata ufadhili kutoka Chadema.

Katika hatua nyingine CCM imeendelea kujiimarisha katika mji wa Kigoma kiasi cha kujiiliza mantiki ya harakati za Chadema kupitia Abdul Nondo zina maanisha nini katika mustakabali wa Jimbo la Kigoma.

Baada ya Zitto kuulizwa kuhusu anavyochukulia harakati za Chadema na Abdul Nondo alisikitika huku akilalamikia Nondo kukata simu zake.

Muda utatujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
ZK na AN ni mtu na ndugu yake, AN hawezi kugombea bila kumshirikisha ZK na hata hivyo, kama AN ni mfuasi wa CDM kuna shida gani kufadhiliwa?
 
Ndugu zangu,

Vita mpya ya kisiasa kati ya vyama vya upinzani imeshika kasi mjini Kigoma ambapo mara hii kijana Abdul Nondo anayeaminika kufadhiliwa na Chadema kanyanyua silaha za kisiasa dhidi ya Zitto Kabwe.

Chadema ambayo sasa inatamani kurudi katika zama za kuungwa mkono na vijana baada ya kupoteza hadhi hiyo miongoni mwa Watanzania katika miaka ya karibuni.

Kijana Abdul Nondo alitokea kuwa maarufu baada ya kuwa kiongozi wa mtandao wa wanafunzi wa elimu ya juu na zaidi baada ya kuibuka na kashfa ya "kujiteka" ili kupata umtaarifu wa kisiasa tuhuma ambazo alisafishwa na korti na hatimaye kurudi kuendelea na masomo ya shahada ya kwanza UDSM ambapo anatarajia kumaliza mwezi Juni mwaka huu (2019).

Abdul Nondo ambaye yupo mjini Kigoma amekuwa akipita katika magenge maarufu kutafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 ambapo inaaminika anapata ufadhili kutoka Chadema.

Katika hatua nyingine CCM imeendelea kujiimarisha katika mji wa Kigoma kiasi cha kujiiliza mantiki ya harakati za Chadema kupitia Abdul Nondo zina maanisha nini katika mustakabali wa Jimbo la Kigoma.

Baada ya Zitto kuulizwa kuhusu anavyochukulia harakati za Chadema na Abdul Nondo alisikitika huku akilalamikia Nondo kukata simu zake.

Muda utatujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
We jitu unayejiita wakudadavuwa nimefuatilia nyuzi zako nimekudharau na kukutupilia mbali, wewe ni mnafiki, mzandiki, mfitini, mchochezi na una kila aina ya ubaya kuanzia leo sita click uzi wowote utakao uweka humu.

Nawaomba na wale Wenye uelewa tusipoteze muda kujadiri chawa zake humu.
 
Ndugu zangu,

Vita mpya ya kisiasa kati ya vyama vya upinzani imeshika kasi mjini Kigoma ambapo mara hii kijana Abdul Nondo anayeaminika kufadhiliwa na Chadema kanyanyua silaha za kisiasa dhidi ya Zitto Kabwe.

Chadema ambayo sasa inatamani kurudi katika zama za kuungwa mkono na vijana baada ya kupoteza hadhi hiyo miongoni mwa Watanzania katika miaka ya karibuni.

Kijana Abdul Nondo alitokea kuwa maarufu baada ya kuwa kiongozi wa mtandao wa wanafunzi wa elimu ya juu na zaidi baada ya kuibuka na kashfa ya "kujiteka" ili kupata umtaarifu wa kisiasa tuhuma ambazo alisafishwa na korti na hatimaye kurudi kuendelea na masomo ya shahada ya kwanza UDSM ambapo anatarajia kumaliza mwezi Juni mwaka huu (2019).

Abdul Nondo ambaye yupo mjini Kigoma amekuwa akipita katika magenge maarufu kutafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 ambapo inaaminika anapata ufadhili kutoka Chadema.

Katika hatua nyingine CCM imeendelea kujiimarisha katika mji wa Kigoma kiasi cha kujiiliza mantiki ya harakati za Chadema kupitia Abdul Nondo zina maanisha nini katika mustakabali wa Jimbo la Kigoma.

Baada ya Zitto kuulizwa kuhusu anavyochukulia harakati za Chadema na Abdul Nondo alisikitika huku akilalamikia Nondo kukata simu zake.

Muda utatujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
crap
 
ona wachawi na tabia zao, mmeshika uchwi mmemalizana sasa mnahamia kwa jiani, endeleeni.

mlianza na membe, makamba, mwigulu sasa mnahamia kwa NONDO mtoto ambaye hata kuoga bado hajajua
 
Mambo ya hovyo! Hizi chokochoko ni bahati nzuri tunajua wapi zinatokea na kwa maana ipi. Hakuna mtu mwenye utimamu anaweza kupoteza muda wake kujadili mambo ya kupika. Hivi vyama vina taratibu zake kuwapata wagombea kwa mfumo uliorasmi kabisa na sio maandishi yenu hapa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unataka tusianze kumnoa mtu wa kumuweka hapo Kigoma mjini?? ZZK hana hati miliki na jimbo hilo. Pia, kumbuka hakuanzia jimbo hilo hivyo anaweza akawa ndiye amemuweka huyo Nondo. CCM mwaka huu mtaimba
 
Nondo si wa kulinganishwa na Zitto uwe usiku uwe mchana
Nondo hajakomaa kisiasa bado (bado sana)
Mnatengeneza fitina watu wa Kigoma waanze kufikiri ndivyo sivyo
Kama Nondo umewatuma hawa waje kukupigia debe humu just to let you know 'you still have a long way to go'
Siasa wewe bado sana
Soma shule kwanza
Usikurupuke kuomba huruma kwa WaTz kwa vile ulipitia kurupushani fulani hivi haikuwa na mgumu wala kichwa.
Personal opinion****
 
Back
Top Bottom