Vita mpya: CHADEMA watuhumiwa kumfadhili Abdul Nondo kumng'oa Zitto Kabwe Kigoma Mjini

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Vita mpya ya kisiasa kati ya vyama vya upinzani imeshika kasi mjini Kigoma ambapo mara hii kijana Abdul Nondo anayeaminika kufadhiliwa na Chadema kanyanyua silaha za kisiasa dhidi ya Zitto Kabwe.

Chadema ambayo sasa inatamani kurudi katika zama za kuungwa mkono na vijana baada ya kupoteza hadhi hiyo miongoni mwa Watanzania katika miaka ya karibuni.

Kijana Abdul Nondo alitokea kuwa maarufu baada ya kuwa kiongozi wa mtandao wa wanafunzi wa elimu ya juu na zaidi baada ya kuibuka na kashfa ya "kujiteka" ili kupata umtaarifu wa kisiasa tuhuma ambazo alisafishwa na korti na hatimaye kurudi kuendelea na masomo ya shahada ya kwanza UDSM ambapo anatarajia kumaliza mwezi Juni mwaka huu (2019).

Abdul Nondo ambaye yupo mjini Kigoma amekuwa akipita katika magenge maarufu kutafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 ambapo inaaminika anapata ufadhili kutoka Chadema.

Katika hatua nyingine CCM imeendelea kujiimarisha katika mji wa Kigoma kiasi cha kujiiliza mantiki ya harakati za Chadema kupitia Abdul Nondo zina maanisha nini katika mustakabali wa Jimbo la Kigoma.

Baada ya Zitto kuulizwa kuhusu anavyochukulia harakati za Chadema na Abdul Nondo alisikitika huku akilalamikia Nondo kukata simu zake.

Muda utatujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha uchawi na uzandiki wewe
 
Akishinda ki democrasia sioni tatizo anakuwa amekubalika na wananchi.

Sio nyie watumia mitutu na kuiba kura.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto sio mtu wa kulia eti Nondo hapokei simu yake. Zito tunayemjua ni mgumu hasa.
Halafu shida ni nini kama nondo kaamua kutafuta uungwaji mkono kugombea? Ina maana CCM haitakuwa na watu ambao hawakuwahi kuwa wabunge kabla na sasa wanatafuta nao uungwaji mkono ili wagombee 2020? Nayo itakuwa habari na utaleta Uzi wake hapa? Umeandika uzi kwenye kiwango cha chini ndugu. Upgrade uandike upya kiuandishi Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Vita mpya ya kisiasa kati ya vyama vya upinzani imeshika kasi mjini Kigoma ambapo mara hii kijana Abdul Nondo anayeaminika kufadhiliwa na Chadema kanyanyua silaha za kisiasa dhidi ya Zitto Kabwe.

Chadema ambayo sasa inatamani kurudi katika zama za kuungwa mkono na vijana baada ya kupoteza hadhi hiyo miongoni mwa Watanzania katika miaka ya karibuni.

Kijana Abdul Nondo alitokea kuwa maarufu baada ya kuwa kiongozi wa mtandao wa wanafunzi wa elimu ya juu na zaidi baada ya kuibuka na kashfa ya "kujiteka" ili kupata umtaarifu wa kisiasa tuhuma ambazo alisafishwa na korti na hatimaye kurudi kuendelea na masomo ya shahada ya kwanza UDSM ambapo anatarajia kumaliza mwezi Juni mwaka huu (2019).

Abdul Nondo ambaye yupo mjini Kigoma amekuwa akipita katika magenge maarufu kutafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 ambapo inaaminika anapata ufadhili kutoka Chadema.

Katika hatua nyingine CCM imeendelea kujiimarisha katika mji wa Kigoma kiasi cha kujiiliza mantiki ya harakati za Chadema kupitia Abdul Nondo zina maanisha nini katika mustakabali wa Jimbo la Kigoma.

Baada ya Zitto kuulizwa kuhusu anavyochukulia harakati za Chadema na Abdul Nondo alisikitika huku akilalamikia Nondo kukata simu zake.

Muda utatujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie wanasiasa uchwara hamna ata chembe ya uzalendo kuhubiri siasa mfilisi..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom