Vita kuu ya nne ya dunia

Jamani naomba nianze kwa kuwaomba msamaha wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine watakwazwa na haya maneno nitakayoyaandika humu. Nidhahiri kwamba wote tunajua kuwa tulikuwa na vita kuu ya kwanza ya Dunia kati ya mwaka 1914 - 1918, Vita kuu ya pili ya Dunia kati ya mwaka 1939 -1945 na vita ya tatu ilikuwa ni vita baridi kati ya mlengo wa Mashariki chini ya Mbabe Mrusi (USSR) na mlengo wa Magharibi chini ya mbabe Marekani.

Ulimwengu umeshuhudia mvutano makali sana kati ya hizo pande mbili. Mwaka 1990 - 1991 upande wa Magharibi ulishinda yaani Marekani na washirika wake. Kwakuwa ile nafasi ya upande wa Mashariki ilibakia tupu; inaonekana kumezwa na hawa ndugu zetu, jamaa zetu, rafiki zetu, waume na wake zetu nao si wengine ni waislam wanye msimamo mkali.

Nayasema haya kwakuwa kila sehemu penye vita na machafuko; lazima pahusishe imani ya Uislam. Nadiriki hata kusema kwamba VITA KUU YA DUNIA YA NNE itakuwa in Uislam dhidi ya watu wengine. Kila kukicha lazima utasikia jamani tunaonewa, mara wakristo wamefanya hili au lile. Kuna mifano mingi sana inayothibisha kuwa hawa wenzetu wana nia mbaya na hii Dunia. Somalia, Sudani. Nigeria, Uganda nk kote huko hakuna amani na chanzo ni Uislam.

Tanzania tuna jambo muhimu sana mbele yetu ambalo kila mmoja wetu anajua kuwa tunahitaji katiba mpya ambayo kwayo tutakuwa na viongozi bora wenye maadili si kama hali ilivyo sasa wizi kila kona ya nchi. Wakati tunahitaji kuunganisha nguvu ya pamoja; wenzetu wanakuja na hoja ya udini tena wakisaidiwa na Mheshimiwa Rais J.K. Kikwete. Ninachojiuliza ni kwanini kila anapokuwa kiongozi wa kiislam; hawa jamaa wanataka wapande mbegu zao za chuki dhidi ya Ukristo?. Wakati wa Serikali ya Ally Hassan Mwinyi hawahawa walipendekeza mnyama anayeitwa nguruwe asikanyage mkoa wa Dar es Salaam; hata kufikia hatua ya kubomoa mabucha ya nyama ya nguruwe. Jamani Dar es Salaam si yao peke yao; ni yetu sote. Kipindi hichohicho; wakataka Tanzania iwe ni mwanachama wa OIC na mwinyi bila kushirikisha wadau wengine alisaini mkataba wa kujiunga na jumuiya hiyo ya kiislam.

Wakati huu tunadai mambo ya msingi sana ambayo, hata wao yanawagusa sana. Lakini jambo la kushangaza wao wanajifanya hawana matatizo. Hivi ni kweli kwamba gharama za umeme, kupanda kwa gesi, ufisadi na wizi wa mali za umma, unyanyasaji wa polisi dhidi ya raia wema, Uchakachuaji wa matokeo ya uongozi wao haviwahusu? Je wenzetu wanaishi Tanzania ipi? ni kweli hawayaoni haya yote?. Kulalamika wataacha lini?

Wakati wa utawala wa Mkapa aliwapa Chuo Kikuu Cha Morogoro; bure kabisa kitu ambacho kama yale majengo hata yangenunuliwa na Kanisa; lazima kungekuwa na maandamano ya Kitaifa ya waislam kupinga. Lakini wao wamepewa bure tena na Mkapa ambaye ni mkristo. Chakushangaza wameshindwa kukiendesha kabisa; sasa sijui wanataka wachungaji wakafundishe pale?. Kwanini wanalalamika kila siku kuwa wanaonewa? ni nani huyo anayewaonea? ni kwanini Duniani kote wao tu wanalalamika na kuanzisha vita na chokochoko?

Kiukweli hili ni janga la Dunia. Kuna kitu kipo kwenye hii imani ya wenzetu ambacho ndicho kinapelekea haya yote. Huenda wanamwabudu Mungu mwingine sio huyu tunayemwabudu sisi. Jamani waislam badilikeni kuweni wastaarabu jamani.

MUNGU UTUBARIKI VITA HII TUSHINDE SALAMA.
hivi sasa hivi nani ndo analalamika hapa TZ? kule arusha waliokuwa wanalalamika kuwa hawamtambui mea ni akina nani? halafu nani kakuambia kuwa chuo cha morogoro kimeshindwa kujiendesha?
Halafu unajua wewe unaudhi sana, hivi wajua walipa kodi wakubwa hapa Tanzania ni akina nani? hebu kaa barabara yoyote ile ya Tz halafu angalia magari yanayopita ni ya akina nani? nyinyi mmekaa kuiba tu. yaone kwanza.
 
Kinachonishangaza, hizi dini mbili kuu (ukristo na uislam) zimeanzia sehemu moja na ukienda mbali zaidi ni mtu na ndugu yake! Sasa sisi tunatoka wapi kushabikia hizi dini? Si tulikuwa na zetu? Mimi ni mkatoliki!
 
jamani naona humu sasa watu mnaongelea mambo ya udini kwa chuki, tuzidi kuomba Mungu nchi ytu isiwe kama zingine hapa Africa wanavyogombana sababu ya dini na kuuana etc
 
Nyimbo mbaya haimbiwi mtoto mchanga!
Pia vita haina macho, haijagui kama ulikuwemo au hukuwemo, kama ulipalilia mbegu ya kuleta vita au la.

Na wataoumia zaidi, watakaokuwa wahanga wa vita ni wale sehemu ya jamii iliyo dhoofu hata leo hii. kinamama na watoto wasio na hatia.
Kukinga ni bora kuliko kutibu.
 
Rwanda mlifungia waumini makanisani na kuwalipua.Sisi kwetu kufa sio issue,mkianza tutawafyeka maana ninyi niwachafuzi tumewavumilia mda mrefu.Usalama wenu mtuache na mambo yetu. HATUOGOPI KUFA tutapambana hadi tone la mwisho ili haki ipatikane.Waislam tuwapole sana sasa msituudhi. Unawajua walio nyuma ya sudan kusini mpaka pakachafuka.Tatizo habari mnasikiliza za propaganda dhidi ya Uislam,ni sawa na mwana chadema kungoja habar za chadema tbc na habarileo.

Nashukuru sana kwa maoni yako yaliyojaa jazba na chuki dhidi ya maoni yangu. Vilevile nilijua hii mada watu wa aina yako wataongea kama ulivyoongea. Lakini naomba nikukumbushe kwamba Rwanda makanisa hayakuwalipua watutsi. Kilichotokea Rwanda kwa taarifa yako ni watu kwenda mashuleni, makanisani, Mahotelini nk kuomba hifadhi kwakuwa ndipo kambi za Umoja wa Mataifa ziliwekwa humo. Na waliopona wengi ni wale waliyohifadhiwa kwenye hizo sehemu.

Mimi nitumie nafasi hii kukuomba kuwa ukombozi wanchi yetu ni wetu sote; si wa dini, kabila au kikundi furani. Sisi sote tunayaona machungu ya utawala wa kifisadi na jinsi nchi inavyouzwa. Au wewe huoni? Sitaki kutoa mifano mingine mingi juu ya nilichokwisha kisema; niliyoyasema yanatosha na kwamba ujumbe wangu umefika.
Tunafahamu kwamba kwenu kufa ni nithawabu hata kama mmeua wengine maana hiyo ndiyo imani yenu. Kwahiyo kwangu sio habari ngeni sana; kwani ni wapi umesikia Wakristo wanajitoa muhanga? Huoni hiyo ni kautamaduni kenu.

Mke wangu ni Muislam na baadhi ya ndugu zangu ni Waislam sina ugomvi nanyi na kamwe sitakaa kugombana na Mtanzania mwenzangu. Lazima mimi na wewe tutofautiane ili hii mada iwe hai na endelevu. Naamini ipo siku Mungu atakufungua uijue kweli na uungane na mimi.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Huo ni mkwala wake tena wa njaa kali Wameamrishwa na kitabu chao kwamba ....Pindi ile.miezi mitukufu ikiisha wauweni makafir...yeye mbona haja ua mmoja tu ili aende peponi/sardaus akafaidi Mahul badala yake anakunywa nao kahawa yeye pepo haitaki?acha ujinga ujinga wako dogo Kafir mkubwa wee!
 
ndugu Msemakweli. Naomba nikusaidie tu kwenye tuta ili uweze kuvuka. Maana sio tu Ulaya Mashariki bali hata hiyo EUROPE kwenyewe tumeshaingia kwa kasi na baada ya kitambo tutatawala.
Priest: We are becoming Pagan: Islam May Fill Europe's Religious Vacuum
Responds to Libyan Leader's Provocation
Father Piero Gheddo of the Pontifical Institute for Foreign Missions and founder of the missionary news agency AsiaNews, said that far from being "folklore," al-Qadhafi's summons could become a reality in a few decades. "The fact is that, as a people, we are becoming ever more pagan and the religious vacuum is inevitably filled by other proposals and religious forces.If we consider ourselves a Christian country, we should return to the practice of Christian life, which would also solve the problem of empty cradles."

http://www.catholic.org/photos/photo.php?news=38118

The priest lamented the 'religious vacuum' in the region, observing that 'religious practice diminishes in Christian Europe and indifference spreads; Christianity and the Church are attacked.'

ROME, Italy (Zenit.org) - On an official visit to Italy this week, the Libyan chief of state caused a few ripples by stating that Europe should convert to Islam. The general public was perhaps more shocked, however, by his request for a few billion dollars to stop African immigration.
However, a missionary priest did call for taking seriously Muammar al-Qadhafi's statements on religion, saying a European conversion to Islam just might happen if the continent continues denying its Christian roots.
Father Piero Gheddo of the Pontifical Institute for Foreign Missions and founder of the missionary news agency AsiaNews, said that far from being "folklore," al-Qadhafi's summons could become a reality in a few decades.
"The fact is that, as a people, we are becoming ever more pagan and the religious vacuum is inevitably filled by other proposals and religious forces," the priest said.
He observed, "No newspaper -- except Avvenire, the newspaper of the Italian Episcopal Conference -- has seriously taken into consideration how to respond to this challenge of Islam, which sooner or later will conquer the majority in Europe."
Archbishop Robert Sarah, secretary of the Vatican Congregation for the Evangelization of Peoples, classified the Libyan leader's call as a "provocation" and a lack of respect for Italy.
Identity crisis
Father Gheddo stated: "The challenge must be taken seriously. Certainly from a demographic point of view, as it is clear to everyone that Italians are decreasing by 120,000 or 130,000 persons a year because of abortion and broken families; while among the more than 200,000 legal immigrants a year in Italy, more than half are Muslims and Muslim families, which have a much higher level of growth."
"Newspapers and television programs never speak of this," he added. "However, an answer must be given above all in the religious and cultural fields and in the area of identity."
The priest lamented the "religious vacuum" in the region, observing that "religious practice diminishes in Christian Europe and indifference spreads; Christianity and the Church are attacked."
 
Na wala sio laima kutokee vita kuu ya nne. Is the GOD's plan to save Europe.

[SIZE=+1]ISLAM WILL TAKE OVER EUROPE THEN AMERICA[/SIZE]
Al Jazeera | May 5th, 2006 | Al Jazeera Broadcast

Posted on Saturday, May 06, 2006 8:35:39 PM by FARS

In a lecture that touched on the meaning of jihad, a leading Saudi cleric declared the United States is collapsing and Muslims must patiently await their ultimate victory.
Sheik Nasser bin Suleiman Al-Omar said in remarks broadcast on the Arab satellite network Al-Jazeera April 19, "The Islamic nation now faces a great phase of jihad," according to the Middle East Media Research Institute.
Referring to sacred Muslim writings that accompany the Quran, the sheik said "Whoever is familiar with the Sunna and the Hadith knows that a battle against the enemies of Allah awaits on the horizon, in which the Muslims will be victorious. This is confirmed by the reliable hadiths, as well as by reality."
Jihad is now taking place in Afghanistan, "Palestine," Iraq, Chechnya, Kashmir and the Philippines, he said.
Meanwhile, the sheik asserted to his audience, love for America is "now disappearing from the hearts, within America itself and elsewhere, whereas Islam is growing even within America, my brothers."
"Islam is making steady progress in America," Al-Omar said. "Twenty-five thousand people have converted to Islam every year since 9-11, and an even larger figure was mentioned in the New York Times."
The sheik cited a report "submitted by the American intelligence to the American officials, regarding the religion of Islam, which some think is defeated or weak today," saying Islam is the fastest growing religion in the world and Muslims soon will become one-third of the world's population.
He quoted a "U.S. Congressman John Morlan" – there is no representative by that name – who supposedly said: "The 21st century is the century of Islam, which will offer an opportunity for peace in the world."
The sheik added: "There is no doubt that it is Islam that will bring peace, and not the U.N., America, Russia, or anyone else."
Interviewed for a PBS "Frontline" documentary on the House of Saud in December 2004, Al-Omar opposed the rewriting of Saudi religious textbooks to eliminate anti-Western, anti-Jewish teachings, and he was one of 26 prominent Saudi clerics who signed a fatwa saying Iraqis should rise up and oppose the Americans in Iraq.
In the Al Jazeera lecture, turning to Iraq, Al-Omar said that with its casualties, "America is now in a predicament."
"You follow the media. America is looking for a way out," he said. "Yes, I am aware of the harsh reality. I am aware of what is happening to our Muslim brothers in Iraq, and I'm referring especially to the Sunni Arabs, against whom all have conspired and who have been deserted by their closest friends.
The sheik claimed American reports of the number of casualties in Iraq, about 2,000, are false. He cited "one of the news agencies" and "several of Iraq's religious scholars" who claim there have been more than 40,000 American and Western casualties in three years. Al-Omar said Americans are dumping their casualties in the Tigris and Euphrates rivers, prompting Iraqi scholars to ask him for a fatwa.
The sheik explained: "Because there were so many casualties, the Americans began to throw them into the Tigris and the Euphrates. The fish have eaten from the flesh of the American and have gotten fat. Are we permitted to eat these fish or not?' Yes. This is the truth, brothers." Al-Omar said the "Islamic nation now faces a great phase of jihad, unlike anything we knew 50 years ago."
Fifty years ago, jihad was attributed only to a few individuals in Palestine and in some other Muslims areas, he said, but "following the events of Afghanistan, the nation has embraced jihad. Young and old, men and women - everyone is talking about jihad."
Some young Muslims today, however, because of their "love for jihad," are getting involved in conflicts that are not properly jihad, he said, adding all these minor battles, which took place in certain Muslim countries, only delay the victory."
"This diverts the strife and calamity into the lands of the Muslims, instead of aiming them directly at the enemies," he said.
In a June 13, 2004, interview with Al-Majd television, Al-'Omar said America is collapsing from within."
"Where are America's principles of justice and democracy?" he asked. " … Is America now, with its reputation and status, the same America of 30 years ago – the source of hope for many people?"
Islam is "advancing according to a steady plan," the sheik said, "to the point that tens of thousands of Muslims have joined the American army and Islam is the second largest religion in America."
"Today," he said, "America is defeated. I have no doubt, not even for a minute, that America is on its way to destruction."
But the United States "will be destroyed gradually," he said, requiring Muslims to be "patient." MEMRI recently reported Libyan Leader Moammar Gadhafi declared in a speech aired on Al Jazeera that Islam will take over Europe without violent force within a few decades. "We have 50 million Muslims in Europe," Gadhafi said. "There are signs that Allah will grant Islam victory in Europe – without swords, without guns, without conquests. The 50 million Muslims of Europe will turn it into a Muslim continent within a few decades
 
Hawa viongozi wa dini ndio wanataka kutupeleka pabaya maana wengine wameamua kusubiri wengine watoe matamko nao wajibu, wakitoa waraka nao wanajibu tena kwa mlengo wa udini. Leo sheikh anadiriki kuiomba serikali iwaonye maaskofu. Nahisi hawa watu wanatumiwa. Sisi huku mtaani waislamu na wakristu tunaishi kwa amani sana na wala hakuna harufu yoyote ya udini isipokua kauli za viongozi wa dini ndio zimeanza kututia shaka na wasiwasi.
 
Hata mimi naona wanaanza uchochezi,mimi kama kawa xmass nasherehekea, maulid, idd nasherehekea wao viongozi ina wauma nini,sisi tuko peace tu,marafiki wangu nusu wakristo the rest waisilam ina wahusu niniii?
 
Whether you hate it or you like it Islam Will Lead the World. This is January 2011 Report.

Most Converts to Islam are Women – Only White Knights are Surprised
Posted on January 5, 2011 by theantifeminist
The BBC reports that there are an estimated 100,000 British converts to Islam, and that at least 3/4 of them are women. To put that in another way - for every one British male who converts, there are at least three British females who willingly submit to Allah.
At Regent's Park Mosque in central London there are many white faces among the crowd for Friday prayers.
Conversions happen here every week – largely on a Saturday, and they are mostly women.
Tony Blair's sister-in-law, Lauren Booth, is a recent convert and prays there.
One London imam, Ajmal Masroor, says the findings of the study come as little surprise to him. He says in his experience around three-quarters of converts are women.
Islam is a religion that oppresses women only in the minds of white knight liberals and male atheists. Yes, of course Islam is appallingly cruel to the handful of women who are beaten for wearing un-Islamic or revealing dress, stoned to death for adultery etc. However, for the vast majority of women under Islamic rule, life is fundamentally better and more content than it is for Western women. Women who live within, and who suffer daily competition and threat under, a liberal and free sexual market that can favour only the young and attractive.
Gentlemen – Leave Saudi Women Alone!
As for the freedom of women when it comes to marriage and divorce, I know that the system in the country obliges the person who will tie the knot legally to directly communicate with the woman and make sure she agrees with the proposal.
As for divorce, I also know that it's a woman's right, under the Shariah rules, to ask for kulu (to file for divorce and give the husband back his dowry) the moment a she dislikes being with her husband. Judges are aware of it.
I know there are instances where these rules are ignored or violated by fathers or judges. Some judges delay the procedures of kulu because they want to sort out the problems between a man and his wife to avoid a divorce. But these violations don't mean that women in the Kingdom are oppressed when it comes to marriage and divorce!
If present trends continue, Feminism will have destroyed European civilisation in just a handful of generations. The response to the free sexual market by European women is the catalyst for the inevitable Islamification of Europe within a century. Feminism, the sexual trade union created to meet the fears and insecurities of women in such a sexually competitive society, leads to a birth rate well below replacement levels. And this requires that all the nations of Europe replace their rapidly diminishing native workforces with massive immigrant labour from neighbouring (muslim) lands. To compound this, we now have ever increasing numbers of European women flocking to Islam as an alternative solution to the free sexual market, and feminism's percieved failure to close it.
What is needed is a secular and liberal movement that sees feminism for what it is – as much an evil threat to Enlightenment values as Islamism itself is. A secular movement that is postive towards pornography, prostitution, and fights the sex offender hysteria for the threat to liberty, and all men, that it undoubtedly is. Unfortunately, liberal atheists such as Richard Dawkins and his like need feminism and ‘the oppression of women' mantra as a stick to beat their religious adversaries with. Sadly ignorant, in their rational feel good bliss, that it is women, motivated solely by their selfish and fundamental sexual needs, that are, and probably always have been, the essential life force that drives both religion and irrationalism.
Feminists have now infested and taken over both the left, the center, and the right of politics. In fact, it is probably impossible to build any kind of political movement nowadays without including the threatened female reproductive voice – a voice that inevitably dilutes and perverts the message of the original struggle. Alas, probably the men's rights movement, in the need to build momentum, will go the same way. It is already showing signs of becoming hijacked into little more than the Conservative Father's Association of North America. An association whose members pray every day pathetically for a Sarah Palin type figure to deliver some kind of 'legitamacy'.
SASA NDUGU YANGU MSEMAKWELI IKIWA ULAYA YOTE ITAKUWA NI DOLA YA KIISLAM HIYO VITA KUU YA NNE ITAPIGANWA KATI YA NANI NA NANI??. AU ULAYA NA CHINA? KANISA ULAYA LIMEKUFA WEWE BADO UNASHIKILIA ITIKADI GANI?? TAFAKARI UJIJIBU NA UACHE CHUKI BINAFSI KWA KUDHARAU DINI ZA WENGINE. TANZANIA NI YETU SOTE.
 
Wao walikuwa wanapeleka madrasa na kuiponda elimu ya mashuleni na kuiita elimu dunia isiyo na manufaa, mbona hili huwa hawalijutii? Badala ya kujenga mahospitali wao waliwaamini sana wafuga majini kama shehe Hayahaya kwa matibabu, ramli na al badr. Sasa wasitafute mchawi waache longo longo wajilaumu wenyewe.

Ila lazima tuchukuwe tahadhali kwa hili, tuysije kuangamizwa kwa kukosa maarifa!

Anko Sam, unalifahamu dhehebu la Ismailia? Kiongozi wake mkuu, an equivalent to Pope for the Catholic, is His Highness Prince Aga Khan. The Aga Khan Foundation is an Islamic organization. they have the best schools and hospitals. Not only are they in to education and health industry, but also hospitality, mfano hai, The Serena Hotels. the best hotel chain in East Africa.

My point is, it is crap to say waislamu hawajasoma or wanaonewa or kuna one Islamic university in Tanzania.
It is even more crap to say the MoU between the government and the Church is to favor Catholics, it did favor the Aga Khan Foundation.
Both these sects have done so much for this country.

Wake up people, we are being duped by hopeless politicians. There is no such thing as UDINI. But there is major poverty and corruption.
Wanataka kutuchanganya ili tusahau the real issue.

PS: Hello JF.
 
Whether you hate it or like it Islam is going to Rule Europe. This is January 2011 Report.

Most Converts to Islam are Women – Only White Knights are Surprised
Posted on January 5, 2011 by theantifeminist
The BBC reports that there are an estimated 100,000 British converts to Islam, and that at least 3/4 of them are women. To put that in another way - for every one British male who converts, there are at least three British females who willingly submit to Allah.
At Regent's Park Mosque in central London there are many white faces among the crowd for Friday prayers.
Conversions happen here every week – largely on a Saturday, and they are mostly women.
Tony Blair's sister-in-law, Lauren Booth, is a recent convert and prays there.
One London imam, Ajmal Masroor, says the findings of the study come as little surprise to him. He says in his experience around three-quarters of converts are women.
Islam is a religion that oppresses women only in the minds of white knight liberals and male atheists. Yes, of course Islam is appallingly cruel to the handful of women who are beaten for wearing un-Islamic or revealing dress, stoned to death for adultery etc. However, for the vast majority of women under Islamic rule, life is fundamentally better and more content than it is for Western women. Women who live within, and who suffer daily competition and threat under, a liberal and free sexual market that can favour only the young and attractive.
Gentlemen – Leave Saudi Women Alone!
As for the freedom of women when it comes to marriage and divorce, I know that the system in the country obliges the person who will tie the knot legally to directly communicate with the woman and make sure she agrees with the proposal.
As for divorce, I also know that it's a woman's right, under the Shariah rules, to ask for kulu (to file for divorce and give the husband back his dowry) the moment a she dislikes being with her husband. Judges are aware of it.
I know there are instances where these rules are ignored or violated by fathers or judges. Some judges delay the procedures of kulu because they want to sort out the problems between a man and his wife to avoid a divorce. But these violations don't mean that women in the Kingdom are oppressed when it comes to marriage and divorce!
If present trends continue, Feminism will have destroyed European civilisation in just a handful of generations. The response to the free sexual market by European women is the catalyst for the inevitable Islamification of Europe within a century. Feminism, the sexual trade union created to meet the fears and insecurities of women in such a sexually competitive society, leads to a birth rate well below replacement levels. And this requires that all the nations of Europe replace their rapidly diminishing native workforces with massive immigrant labour from neighbouring (muslim) lands. To compound this, we now have ever increasing numbers of European women flocking to Islam as an alternative solution to the free sexual market, and feminism's percieved failure to close it.
What is needed is a secular and liberal movement that sees feminism for what it is – as much an evil threat to Enlightenment values as Islamism itself is. A secular movement that is postive towards pornography, prostitution, and fights the sex offender hysteria for the threat to liberty, and all men, that it undoubtedly is. Unfortunately, liberal atheists such as Richard Dawkins and his like need feminism and ‘the oppression of women' mantra as a stick to beat their religious adversaries with. Sadly ignorant, in their rational feel good bliss, that it is women, motivated solely by their selfish and fundamental sexual needs, that are, and probably always have been, the essential life force that drives both religion and irrationalism.
Feminists have now infested and taken over both the left, the center, and the right of politics. In fact, it is probably impossible to build any kind of political movement nowadays without including the threatened female reproductive voice – a voice that inevitably dilutes and perverts the message of the original struggle. Alas, probably the men's rights movement, in the need to build momentum, will go the same way. It is already showing signs of becoming hijacked into little more than the Conservative Father's Association of North America. An association whose members pray every day pathetically for a Sarah Palin type figure to deliver some kind of 'legitamacy'.
NDUGU MSEMAKWELI: SASA IKIWA ULAYA YOTE ITATAWALIWA NA DOLA YA KIISLAM JE, HIYO VITA YA NNE ITAPIGANWA KATI YA NANI NA NANI?. AU ULAYA NA CHINA??. KANISA ULAYA LIMEKUFA KABISA. SIJUI WEWE UNAFUATA ITIKADI GANI? usipandikize chuki zako kwenye DINI yetu tukufu bila sababu. Tupiganie haki zetu bila kuruhusu wala kusukumwa na Viongozi wa KANISA ambao Historia inaonyesha ni wavurugaji.
Tuwaambie waponye majeraha ya USHOGA KWANZA ambayo tiba yake ni KUOA.
 
Whether you hate it or like it Islam is going to Rule Europe. This is January 2011 Report.

Most Converts to Islam are Women – Only White Knights are Surprised
Posted on January 5, 2011 by theantifeminist
The BBC reports that there are an estimated 100,000 British converts to Islam, and that at least 3/4 of them are women. To put that in another way - for every one British male who converts, there are at least three British females who willingly submit to Allah.
At Regent’s Park Mosque in central London there are many white faces among the crowd for Friday prayers.
Conversions happen here every week – largely on a Saturday, and they are mostly women.
Tony Blair’s sister-in-law, Lauren Booth, is a recent convert and prays there.
One London imam, Ajmal Masroor, says the findings of the study come as little surprise to him. He says in his experience around three-quarters of converts are women.
Islam is a religion that oppresses women only in the minds of white knight liberals and male atheists. Yes, of course Islam is appallingly cruel to the handful of women who are beaten for wearing un-Islamic or revealing dress, stoned to death for adultery etc. However, for the vast majority of women under Islamic rule, life is fundamentally better and more content than it is for Western women. Women who live within, and who suffer daily competition and threat under, a liberal and free sexual market that can favour only the young and attractive.
Gentlemen – Leave Saudi Women Alone!
As for the freedom of women when it comes to marriage and divorce, I know that the system in the country obliges the person who will tie the knot legally to directly communicate with the woman and make sure she agrees with the proposal.
As for divorce, I also know that it’s a woman’s right, under the Shariah rules, to ask for kulu (to file for divorce and give the husband back his dowry) the moment a she dislikes being with her husband. Judges are aware of it.
I know there are instances where these rules are ignored or violated by fathers or judges. Some judges delay the procedures of kulu because they want to sort out the problems between a man and his wife to avoid a divorce. But these violations don’t mean that women in the Kingdom are oppressed when it comes to marriage and divorce!
If present trends continue, Feminism will have destroyed European civilisation in just a handful of generations. The response to the free sexual market by European women is the catalyst for the inevitable Islamification of Europe within a century. Feminism, the sexual trade union created to meet the fears and insecurities of women in such a sexually competitive society, leads to a birth rate well below replacement levels. And this requires that all the nations of Europe replace their rapidly diminishing native workforces with massive immigrant labour from neighbouring (muslim) lands. To compound this, we now have ever increasing numbers of European women flocking to Islam as an alternative solution to the free sexual market, and feminism’s percieved failure to close it.
What is needed is a secular and liberal movement that sees feminism for what it is – as much an evil threat to Enlightenment values as Islamism itself is. A secular movement that is postive towards pornography, prostitution, and fights the sex offender hysteria for the threat to liberty, and all men, that it undoubtedly is. Unfortunately, liberal atheists such as Richard Dawkins and his like need feminism and ‘the oppression of women’ mantra as a stick to beat their religious adversaries with. Sadly ignorant, in their rational feel good bliss, that it is women, motivated solely by their selfish and fundamental sexual needs, that are, and probably always have been, the essential life force that drives both religion and irrationalism.
Feminists have now infested and taken over both the left, the center, and the right of politics. In fact, it is probably impossible to build any kind of political movement nowadays without including the threatened female reproductive voice – a voice that inevitably dilutes and perverts the message of the original struggle. Alas, probably the men’s rights movement, in the need to build momentum, will go the same way. It is already showing signs of becoming hijacked into little more than the Conservative Father’s Association of North America. An association whose members pray every day pathetically for a Sarah Palin type figure to deliver some kind of ’legitamacy’.
NDUGU MSEMAKWELI: SASA IKIWA ULAYA YOTE ITATAWALIWA NA DOLA YA KIISLAM JE, HIYO VITA YA NNE ITAPIGANWA KATI YA NANI NA NANI?. AU ULAYA NA CHINA??. KANISA ULAYA LIMEKUFA KABISA. SIJUI WEWE UNAFUATA ITIKADI GANI? usipandikize chuki zako kwenye DINI yetu tukufu bila sababu. Tupiganie haki zetu bila kuruhusu wala kusukumwa na Viongozi wa KANISA ambao Historia inaonyesha ni wavurugaji.
Tuwaambie waponye majeraha ya USHOGA KWANZA ambayo tiba yake ni KUOA.
 
sorry for crossposting. i meant one post only.

Ngoja nikamsalimie babangu mdogo atakuwa ameshatoka MISA ya kwanza.

Cheers!
 
mzee msemakweli.... kama Osama Bin Laden ameshindwa kuchokochoa na kuanzisha vita ya udini dunia hii... na aliyoamini ni ingefanikiwa kwa kuanzia amerika na mataifa ya ulaya.... basi biashara hii ya vita kuu ya dunia through udini imekwisha.....vita hii si rahisi isambae kwani haiwezi kufanikiwa kama itaanzia kwenye mataifa maskini kama ya afrika ije iibukie kwenye mataifa tajiri kama ya ulaya...... nikwambie labda useme vita kuu ya kwanza ya mataifa maskini na mataifa ambayo ni uncivilized... angalia...sudan.., somalia.., hivi ni vi nchi vya udhaifu mkubwa..... tanzania tuchunge umaskini na civilazation ndiyo vita yetu kubwa sio udini kama watu wanaotaka kuingiza kwa manufaa yao binafsi
 
wanaopenda mauaji kwa ajiri ya kueneza mambo yao nawalaani wafe mapema watupishe kwenye sayari yenye neema , kama una nguvu pigana kutokomeza njaa, Mbu wa maralia , Umaskini kwa kuongeza elimu dunia ili ujikomboe kimaisha, mbona vijijini udini haupo wewe unayekaa mjini kwa kutegemea hela za kutoka nje eti unaeneza dini kwa njia ya upanga, kwa nini usitumie upanga huo kufyeka mafisadi ukakaa na ela zako humu humu kuliko za nje zinazotuchanganya, ndio maana pale kariakoo waarabu wengi wamekuwa wajanja , wakipewa kujenga miskiti wananunua majumba na kuyafanya biashara huku wakituma picha za sehemu nyingine picha za miskiti ya zamani kuwapelekea wafadhili ndio maana ngumi za waokwao kama Mwenge mwembe chai , haziishi.
 
Back
Top Bottom