Vita kuu ya nne ya dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita kuu ya nne ya dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Msemakweli, Jan 15, 2011.

 1. Mzee Msemakweli

  Mzee Msemakweli Senior Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba nianze kwa kuwaomba msamaha wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine watakwazwa na haya maneno nitakayoyaandika humu. Nidhahiri kwamba wote tunajua kuwa tulikuwa na vita kuu ya kwanza ya Dunia kati ya mwaka 1914 - 1918, Vita kuu ya pili ya Dunia kati ya mwaka 1939 -1945 na vita ya tatu ilikuwa ni vita baridi kati ya mlengo wa Mashariki chini ya Mbabe Mrusi (USSR) na mlengo wa Magharibi chini ya mbabe Marekani.

  Ulimwengu umeshuhudia mvutano makali sana kati ya hizo pande mbili. Mwaka 1990 - 1991 upande wa Magharibi ulishinda yaani Marekani na washirika wake. Kwakuwa ile nafasi ya upande wa Mashariki ilibakia tupu; inaonekana kumezwa na hawa ndugu zetu, jamaa zetu, rafiki zetu, waume na wake zetu nao si wengine ni waislam wanye msimamo mkali.

  Nayasema haya kwakuwa kila sehemu penye vita na machafuko; lazima pahusishe imani ya Uislam. Nadiriki hata kusema kwamba VITA KUU YA DUNIA YA NNE itakuwa in Uislam dhidi ya watu wengine. Kila kukicha lazima utasikia jamani tunaonewa, mara wakristo wamefanya hili au lile. Kuna mifano mingi sana inayothibisha kuwa hawa wenzetu wana nia mbaya na hii Dunia. Somalia, Sudani. Nigeria, Uganda nk kote huko hakuna amani na chanzo ni Uislam.

  Tanzania tuna jambo muhimu sana mbele yetu ambalo kila mmoja wetu anajua kuwa tunahitaji katiba mpya ambayo kwayo tutakuwa na viongozi bora wenye maadili si kama hali ilivyo sasa wizi kila kona ya nchi. Wakati tunahitaji kuunganisha nguvu ya pamoja; wenzetu wanakuja na hoja ya udini tena wakisaidiwa na Mheshimiwa Rais J.K. Kikwete. Ninachojiuliza ni kwanini kila anapokuwa kiongozi wa kiislam; hawa jamaa wanataka wapande mbegu zao za chuki dhidi ya Ukristo?. Wakati wa Serikali ya Ally Hassan Mwinyi hawahawa walipendekeza mnyama anayeitwa nguruwe asikanyage mkoa wa Dar es Salaam; hata kufikia hatua ya kubomoa mabucha ya nyama ya nguruwe. Jamani Dar es Salaam si yao peke yao; ni yetu sote. Kipindi hichohicho; wakataka Tanzania iwe ni mwanachama wa OIC na mwinyi bila kushirikisha wadau wengine alisaini mkataba wa kujiunga na jumuiya hiyo ya kiislam.

  Wakati huu tunadai mambo ya msingi sana ambayo, hata wao yanawagusa sana. Lakini jambo la kushangaza wao wanajifanya hawana matatizo. Hivi ni kweli kwamba gharama za umeme, kupanda kwa gesi, ufisadi na wizi wa mali za umma, unyanyasaji wa polisi dhidi ya raia wema, Uchakachuaji wa matokeo ya uongozi wao haviwahusu? Je wenzetu wanaishi Tanzania ipi? ni kweli hawayaoni haya yote?. Kulalamika wataacha lini?

  Wakati wa utawala wa Mkapa aliwapa Chuo Kikuu Cha Morogoro; bure kabisa kitu ambacho kama yale majengo hata yangenunuliwa na Kanisa; lazima kungekuwa na maandamano ya Kitaifa ya waislam kupinga. Lakini wao wamepewa bure tena na Mkapa ambaye ni mkristo. Chakushangaza wameshindwa kukiendesha kabisa; sasa sijui wanataka wachungaji wakafundishe pale?. Kwanini wanalalamika kila siku kuwa wanaonewa? ni nani huyo anayewaonea? ni kwanini Duniani kote wao tu wanalalamika na kuanzisha vita na chokochoko?

  Kiukweli hili ni janga la Dunia. Kuna kitu kipo kwenye hii imani ya wenzetu ambacho ndicho kinapelekea haya yote. Huenda wanamwabudu Mungu mwingine sio huyu tunayemwabudu sisi. Jamani waislam badilikeni kuweni wastaarabu jamani.

  MUNGU UTUBARIKI VITA HII TUSHINDE SALAMA.

   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hii kitu haipo ni gossip believe me
   
 3. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waelimishwe wataelimika
   
 4. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waislamu ni kinanani humu?
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wanaonewa tena sana, wameonewa mara nyingi, yaani tumeonewa na CCM, ila nadhani vingozi wetu wa dini hawana elimu ya kutosha wanapaswa kuungana na Watanzania wengine kupinga uonevu wa CCM; Waonadhani CCM inawaonea wao peke yao! CCM inaonea Watanzania wote jamani tuuungane dhidi ya udhalimu wa CCM ni Udhalimu juu ya Watanzania wote sio Uislam peke yake.


  Kuhusu swala la kutumia rais Muislam kushinikiza mambo ya Kidini siyo Waislam wanaofanya ni bahati mbaya mara zote Wametokea Marais mbumbumbu ambao ni Waislam na wao ndio wanaopenda hayo mambo kwani unakuta mtu kama Kikwete Nchni imeshamshinda sasa anachofanya ni kutafuta makundi ili kupata pakuegemea

  Huko ni kutafuta msaada wa bei chee, ni ufinyu wa Mawazo ya Vingozi wetu anataka kutwambia kuwa CCM ya waislam!! huo ni uongo mkubwa sana! Wazee na Vijana wote wa kiislam nawashauri wajiunge na vuguvugu la kukomboa nchni yetu dhidi ya Udhalimu wa CCM, Kikwete akitaka kuleta Darfur hapa hatoweze hivi sasa Dunia ipo makini sana juu ya Ugaidi hasije akajaribu amuulize Mzee Ghadafi alijari udini yako wako wapi sasa;
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  :smile-big:
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  UKWELI MTUPU,YESU KRISTO AkUBARIKI SANA KWA KWELI UMENENA NA WAONE NA WABADILIKE,MAANA SISI TUKIANZA WATAUMIA WAO NAAMINI.
   
 8. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Waache kulalamika,wapeleke watu shule,waanzishe mahospital ya kutosha,waanzishe miradi ya maendeleo.Kulalamika tu hakusaidii.Tuchape kazi tuache malalamiko.
   
 9. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wao walikuwa wanapeleka madrasa na kuiponda elimu ya mashuleni na kuiita elimu dunia isiyo na manufaa, mbona hili huwa hawalijutii? Badala ya kujenga mahospitali wao waliwaamini sana wafuga majini kama shehe Hayahaya kwa matibabu, ramli na al badr. Sasa wasitafute mchawi waache longo longo wajilaumu wenyewe.

  Ila lazima tuchukuwe tahadhali kwa hili, tuysije kuangamizwa kwa kukosa maarifa!
   
 10. k

  kajembe JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Jk hachukiwi sababu ya Udini jamani ni uwezo wake ndiyo Tatizo,walimchezea rafu Dk Salim ambaye ni muislam mwenye uwezo mzuri kuliko yeye. WTZ tuamke tusifanywe bidhaa poa na CCM maslahi wakatugawa waendelee kutunyonya hawa jamani ni wanyonyaji!
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Haya tena ni yaleyale! Upuuzi umeanza na wapuuzi watajionesha! Eti si tunapinga mada za udini?

  Kwa taarifa yako cc Waislamu tunamwabudu Mungu ambaye hafanani na kiumbe chengine chochote na iwapo huyo Mungu wenu ana sifa hizo basi tunaabudu Mungu mmoja.
   
 12. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Fanyeni kama wafanyaji! Hivyo kipi kipya mtachofanya kwa Waislamu? Mlianza kwa crusade sasa mnatumia silahaa isipokuwa kwa nyie domo kaya hakuna lolote!
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Mtakatifu julius nyerere,mtakatifu ben mkapa!
   
 14. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haijalishi ila kama una kisima cha mafuta home na umeme wao poa..zaidi ya hapo tupa huko..ungana na mimi tuikomboke inchi...mkizingua kama Tunisia ,mtu ataresign kwa nguvu...
   
 15. C

  CITYBOY Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We MSEMAUONGO hapojuu hunalolote na huna ulijualo ila dhana zako tu.Siajabu hata historia ya nchi hii huijui na hata huko ulikotoa mifano hunalolote ulijualo ila dhana.Wanaokuunga mkono kwa hoja zako dhaifu pia nao ni mambumbu wa historia ya dunia.Niambie crusade war ilikua wapi na washiriki nikina nani.Uniambie crusade ya pili ilitangazwa wapi na ninani mwamrishaji na ilianza lini na baada ya tangazo kilitokea nini?Kama unajua tuambie kwanini nyerere anaitwa baba wataifa na kwanini apewe utakatifu! Kwanini maaskof wanasuti juu ya serikali.Kama ninyi wakristo mmejihakikishia, basi mwisho umefika na muda simwingi.Rwanda mlifungia waumini makanisani na kuwalipua.Sisi kwetu kufa sio issue,mkianza tutawafyeka maana ninyi niwachafuzi tumewavumilia mda mrefu.Usalama wenu mtuache na mambo yetu. HATUOGOPI KUFA tutapambana hadi tone la mwisho ili haki ipatikane.Waislam tuwapole sana sasa msituudhi. Unawajua walio nyuma ya sudan kusini mpaka pakachafuka.Tatizo habari mnasikiliza za propaganda dhidi ya Uislam,ni sawa na mwana chadema kungoja habar za chadema tbc na habarileo.
   
 16. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora tupigane!..maana kuikomboa nchi tumeshindwa!
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sisi sote ni ndugu ni wamoja leo mimi ni mkristo lakini nina mwana,ke muislamu tena tunapendana sana tusijaribu kukaribisha sana mjadala wa dini kwenye maswala haya cha msingi sisi tushirikiane kuikomboa nchi mimi leo siwez kwenda kumpiga muislamu nitakuwa nawakosea wakwe zangu au nitakuwa nawapiga wajukuu zangu jaman cha msingi ni upendo na kueleweshana akuna mtu anaye penda kuishi maisha mabaya hata kidogo
   
 18. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Uganda machafuko wanaleta LRA wakristo wenzako, Gbagbo ni mlokole mwenzako, Mugabe pia, Kongo zote na Jamhuri ya Afrika ya Kati hamna waislamu huko mbona kuna machafuko? Halafu hoja zako nyingi ume desa humu JF ndio maana ni za kijiweni zaidi! Good news ni kwamba achana na CCM na serikali na Waislamu. Kanisa lililo jaa wasomi lina mpango mahsusi wa kuchukua nchi through mtoto wake CDM. Tuunge mkono tu bana, tutaonana kesho MISA ya pili!
   
 19. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Dini walete wengine. Kupigana tupigane sisi. Miafrika ndivyo ilivyo!
   
 20. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Hapa umenena!
   
Loading...