1.Kweli kaka, lakini ajibu mwenyewe wewe nani? wewe ni Katibu Mutasi/mwenezi wake? Hivi si ninyi mlizaja JF kuwajadili akina marehemu na Suzy,,, seuse huyo kiongozi mtukuka wa Chama kitakatifu... waliosikiliza hotuba za nyerere kipindi hiki cha maadhimisho ya kifo chacke aligusia ufuska,,, at mpaka wa kunyang'anya watu wake zao?
2.TUHUMA za kula fedha za walemavu nazo ni personal,
3.Waleteni wajibu wenyewe, acheni unazi hapa,,, hamuisaini nchi,,, inaonyesha mnapenda madaraka kama CCM tu,,, nilidhani ninyi wazuri lakini naanza kuwa na masharaka..,
Tumewaona akina Tafiti,
hivi ni wapi vile katika hiyo makala or whatever inasema ni ccm ndio wameandika ? kama hamna, then shut your computers people ! acheni kuongea vitu msivyoweka kuproove. endeleeni na kampeni zenu kuipaka mavi ccm !
kuhusu list ya mafisadi ( slaa akiwemo namba 12 ) nakubaliana nayo, lakini mnapata wapi hii mentality ya mtu anapokosoa wapinzani mnamuita ccm ?? sielewi bado hii kitu !
Hivi wanaposema Doc. amekula pesa za walemavu wanataka kutuambia nini? Wapuuzi hawa wanafikiri JF hatuna akili. Mapesa wanayoyala kila siku mchanamchana bila hata kujificha tena mabilioni ya TZShs. Kweli SISIEM wameshatudharau sana waTZ!!! Doc. anajaribu kuongelea maslahi ya Taifa wao wanatuletea story za primary school. Nafikiri Mtoto wa Mkulima na Kilitime wametumwa kama akina Tafiti, Mvumbuzi, Mgongo x 2 au wanatoka kwenye familia hizohizo za MAFISADI!!!!
watu hapa wanataka asubuhi, mchana na jioni zijae threads za bot, muungwana, ccm, ra, el, nchimbi, mafisadi, na vinginevyo, SAWA HATUPINGI ! LAKINI inakuwaje zinapokuja thread kama hizi watu mnachonga sana ? yaani hamuoni tu forum ilivyo bias kwa kubase upande mmoja ? sina maana ya kusema mengi wakuu, lakini hapa kila mtu ana akili timamu hivyo nadhani mtaelewa !
just take this issue lightly and you'll overcome it people ! ilikuja thread ya mbowe kutafuna pesa, ikanisababisha nifungiwe, sasa imekuja hii tena naona longlongo kibaoooooo. vipi wanachama ?
tukateni ishu, wapinzani ipo siku watashika madarakani ( angalau sio hivi karibuni ) hivyo lazima tuanze kuwaangalia mafisadi wa ccm na wa upinzani vile vile, lakini watu wameng'ang'ania ccm weee utafikiri ccm watatawala milele ! damn.... people.
kama tunadhani ipo siku wapinzani watashika madaraka ( which they have alreadystarted ) basi sioni baya lolote kuwazungumzia, lakini kama mtaongelea ccm tu peke yake, thats not fair ! ndio maana ya kuwa politician, acha watu wakujadili binafsi na sera zako, kama hamtaki tuwaongelee hawa watu nashauri they need a career change au vyama vya upinzani vibadirishwe vile vilabu vya soka !
kada, heshima mkuu,
unasahau upande wa pili wa coin! mtu anapokuwa against(anapokosoa) CCM, anaitwa mpinzani(katumwa na).
Hapa inamaanisha kuna makundi mawili
CCM na UPINZANI, hivyo unapokuwa against na one group automatically utakuwa the opposite group, japokuwa not necessary to be true.