Vita ijayo mashariki ya kati

kama hujui nini kinaendelea duniani uliza na si kuleta lugha za kubughudhi,habari hiyo ni ya kweli technologia ya iran sio ya kupuuza jana leon paneta alikuwa analalama kwa hili la virus kuingizwa kwenye makampuni ya mafuta ,wiki ilipita israeli walishuhudia kitu kikinyemelea satelite yao ingawa walifanikiwa kuitungua lakini imeacha maswali mengi sio kwa israel hata dunia nzima ..ukumbuke pia rais wa iran halali kitandani analala chini hivyo humpelekea kuwaza mbali zaidi
 
Ktk Top 10 ya majeshi yenye nguvu duniani,israel ipo na cha kushangaza ina wanajeshi wachache kupindukia,kombora dogo kuliko yote duniani limevumbuliwa na israel mwaka huu na wamemuuzia teknolojia mrusi kombora lenyewe lina uzito wa kilo nne na ni dogo kama rula na effect zake ni kama kombora linalobebwa na magari makubwa ya kijeshi...toa udini wako hv ufikirii kwa middle east nchi zinazoizunguka israel zikiweka silaha chini amani itakuja,ila israel akiweka silaha chini kifo kitamjia,for years wamemshindwa,sasa subiri soon uone iran itakavyobamizwa baada ya hapo mataifa ya kiarabu pamoja na urusi watakapovamia israel na kuharibiwa kabla ya kuingia mpinga kristo

Kwa akili zako utaona hivyo ila neno halisemi hivyo. Israeli itapigwa balaa na hao jamaa na kushindwa kabisa kabla ya mpango wa mpinga kuingia na mwisho Israel itatubia kwa Mola wake na kupona hao 124,000 tu.
 
Haukuna nchi itakayoweza kuipiga Israel. Teknolojia ya Israel na iran ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi, Israel iko mbali sana kuliko Irani, Hilo jamaa linaongea kishabiki

Israel bila kukingiwa kifua na USA ni domo tupu.
Israel inazo silaha za nyuklia , inaweza kutumia hizo. Iran ina makombora mengi ya kuimaliza Israel.

US akiingia katika vita huenda ndio vita ya 3 ya dunia imewadia.

Hesbollah waliifanya nini Israel katika vita iliyopita? Israel can't defeat Hezbollah: Israeli expert | Reuters

link How Hezbollah Defeated Israel Part Three

link WILL HEZBOLLAH DEFEAT ISRAEL (AGAIN!) IN THE COMING WAR? | Veterans Today
 
Please ongea ukweli, nikwamba hiyo UAV au SAI ilionekana mapema wakati inakaribia southern border ya Israel nawao walikuwa tayari washajua na hawakutaka kuitungua mapema vile sababu ya makazi ya watu, wenzetu wanajali utu, hivyo walisubiri mpaka eneo lisilo na makazi ya watu ndipo waitungue.

vita ya hizbullah na Israel, Hizbullah wanajichanganya kwenye makazi ya watu-walebanoni, raia, kwahiyo ulitaka IDF iue raia??

Unajua nini juu ya DEMONA REACTOR?? angekuwepo Rais ambaye marehemu, Rais Kennedy angekueleza na kwanini hadi leo rais anayeingia madarakani wa marekani lazima aiheshimu Israel??

Tusiwe washabiki wa upande wowote!

Asante Isuto. Sitaweza kuwajibu wote, hasa wale wanaodhani nagombea Dini hapa ilhali nimejaribu tu ku-analyse matukio kama niyaonavyo mimi. Matukio haya ni ya kweli na kwa anayefuata habari hatashindwa kugundua hivyo. Yaelekea kuna watu hapa hata neno 'analysis' hawajui maana yake. Waache wakae na mavi yao ya shingo! Kwa hiyo, nitawajibu wachache wenye akili na mantiki.
Kuhusu maelezo ya Waisraeli kuwa waliiachia SAI ya Hizbollah kwa kuhofia maisha ya watu, hiyo ni propaganda. Kumbuka, kabla ya hapo walisema hawakuigundua kwa radar. Pili, hii SAI iliingia Israel kutokea baharini wakati iliambaa kwa zaidi ya kilomita 70 kwenye ufukwe wa Israel-mbona hawakuitungua huko? Tatu: hakuna mtu yeyote mwenye akili atakayeiachia SAI ipite juu ya vituo vyake vya kijeshi, kwa vyovyote vile, kwa sababu chombo hiki hakipiti kutalii tu, bali kinapiga picha, kupima ishara za uwezo wa kijeshi na hata kupima masafa. Ni kwamba inapopita mahali huwa inatuma hazina kubwa ya info kwa wale walioituma. Katika hali hii Israeli ingeidungua hata kama kwa kufanya hivyo kungepelekea vifo vya raia kadhaa. Nne, nakuomba urejee DEBKA uangalie SAI ya kwanza waliyoituma Hizbullah ilidunguliwa wapi.
Kuhusu vita ya Lebanon: kwa kweli hapa unaonesha Unazi wako kwa Israel wazi wazi! Wataka uniambie Israel ilishindwa kwa sababu haikutaka kuwashambulia raia? Siyo Israel ndiyo iliyoua raia zaidi katika vita hiyo kushinda Hizbollah, tena kwa kusudi kwa kubomoa madaraja, nyumba, barabara, airport..... vitu ambavyo havina umuhimu wa kijeshi? Rejea rubaa zako utaona Israel katika vita hiyo iliuawa raia 1,000 wa Lebanon wakati Hizbollah walishambulia viwanja vya kijeshi na kambi za kijeshi. Israel haikutoa idadi yeyote ya raia waliouawa na Hizbollah.
Nimesoma juu ya Dimona (ambayo kimakosa unaiandika Demona) reactor zaidi ya ulivyosoma wewe. Yes, hata mimi nina aina ya kukubali nadharia yako kuwa huenda rais Kennedy aliuawa na Wazayuni kwa vile alipinga vikali Israeli kutengeneza silaha za nuklia. Baaada ya kufa kwake, makubaliano ya haraka haraka baina ya wakuu wa Marekani na Israeli (siri) yakapitishwa kuwa wakubali Israeli iunde silaha za nuklia kwa sharti wasitangaze wala kukubali kuwa wana uwezo huo. Ndyo hapo ilipozaliwa nadharia ya 'nuclear ambiguity' ambayo Israel inaifuata hadi leo.

Tusiwe washabiki wa upande wowote!!!!! Kweli? Nani anayeshabikia hapa? Kuna watu wengine wako 'so toxic about Israel' kiasi ukisema 'Iran ina teknolojia' wanafasiri kuwa umesema 'Israeli haina teknolojia' Nilichosema hapa ni hicho cha kwanza bila ya kukanusha cha pili....bas.
 
Osama hakuuawa na drone. Ilikuwa ni timu ya SEALS waliovamia jumba alikokuwa amejificha.
 
Israel bila kukingiwa kifua na USA ni domo tupu.
Israel inazo silaha za nyuklia , inaweza kutumia hizo. Iran ina makombora mengi ya kuimaliza Israel.

US akiingia katika vita huenda ndio vita ya 3 ya dunia imewadia.

Hesbollah waliifanya nini Israel katika vita iliyopita? Israel can't defeat Hezbollah: Israeli expert | Reuters

link How Hezbollah Defeated Israel Part Three

link WILL HEZBOLLAH DEFEAT ISRAEL (AGAIN!) IN THE COMING WAR? | Veterans Today
Kabisa kabisa

Last edited by a moderator:
Please ongea ukweli, nikwamba hiyo UAV au SAI ilionekana mapema wakati inakaribia southern border ya Israel nawao walikuwa tayari washajua na hawakutaka kuitungua mapema vile sababu ya makazi ya watu, wenzetu wanajali utu, hivyo walisubiri mpaka eneo lisilo na makazi ya watu ndipo waitungue.

vita ya hizbullah na Israel, Hizbullah wanajichanganya kwenye makazi ya watu-walebanoni, raia, kwahiyo ulitaka IDF iue raia??

Unajua nini juu ya DEMONA REACTOR?? angekuwepo Rais ambaye marehemu, Rais Kennedy angekueleza na kwanini hadi leo rais anayeingia madarakani wa marekani lazima aiheshimu Israel??

Tusiwe washabiki wa upande wowote!

kwahyo le
 
Mimi sio mshabiki lakini navyojua ni kwamba Mwarabu bado saana, aje aifikie Israel, USA, EU, kiuchumi, silaha, vita, busara, maendeleo ya kijamii n.k
 
Mimi sio mshabiki lakini navyojua ni kwamba Mwarabu bado saana, aje aifikie Israel, USA, EU, kiuchumi, silaha, vita, busara, maendeleo ya kijamii n.k

Alaa, wewe ni katika waleee waliokuwa wakikimbia somo la Jiografia shule? Waona sasa, matokeo yake wadhani Iran ni nchi ya Kiarabu!

Haafu hata hao Waarabu wenyewe, unajua uwezo wao wa kijeshi au wasikia tu? Usione kwa vile wameshindwa na Israel mara kadhaa kwa hiyo wako nyuma. Israel ina nguvu kubwa za kijeshi (inapata silaha za bure kutoka Marekani kila mwaka za thamani ya dola bilioni 3.5) hata ina uwezo wa kuzishinda nchi nyingi za Ulaya kijeshi- nchi kama Greece, Norway, Italy, Spain, Portugal...na wengine wanasema hata nchi kubwa kama India, Turkey, Canada nk.
Nchi za Kiarabu nazo, naamini Egypt, Syria, Algeria, Morocco.... zina uwezo wa kuzinyuka 97% ya nchi za Sub-Saharan Africa. Kwa hiyo ondoa mentality ya Uarabu, Uislamu n.k. na tafuta facts. Cha muhimu, soma na jielimishe!
 
Umesahau pia kumuambia hili, Isreal bila kusaidiwa na mmarekani na nchi za europe, hawezi hata kupigana na kikosi cha HAMAS :biggrin:
 
Mh! hii drone imezua mengi ndani na nje ya Israel...kwani kwa sasa hizbullah ni tishio na imebidi US/UK wapeleke special forces JORDAN ili kuzuia wasiweze kupata silaha za kemikali tokea Syria, achilia mbali makombora yenye range tofauti ambayo anapewa tokea IRAN thats y MAREAKANI na vibaraka vyake wanafanya juu chini ili waweze kuiangusha serikali ya Syria ili waweze kulipunguza nguvu kundi la Hizbullah kwani silaha zake zinapitia Syria from IRAN....Ni kweli Israel ana technology ya hali ya juu ila IRAN kwa muongo mmoja uliopita ameuduwaza ulimwengu kwa hali aliyoifikia ya tekinolojia japokua amewekewa vikwazo vya kiuchumi na vya kutouziwa silaha zozote zile tofauti na rival wake Israel ambaye anapewa kila aina ya silaha ivi majuzi kapewa submarine from Germany ambazo zinaweza fire missile and torpedo na pia ana order ya fifth-generation fighter jets from US ambazo ni F-22, F-35 hizi ni za hali ya juu kwani hazionekani kwenye rader
 
Udini unaingiaje hapa
uSIWASIFIE HISBOLLAH KWA SABABU HISBOLLAH wao hawavai uniform za jeshina kama wanavaa uniform basi wasingekuwepo duniani! Wao huvaa kiraia na huja kama raia wema huku wameficha siraha, sasa Israel ni Taifa huru na linaloheshimu utu wa mtu, hivyo hawawezi kumlenga mtu asiye na nguo za kijeshi wakati wanapigana.

Halafu nawashukuru sana watanzania wanaounga mkono Israel. CCM na serikali yake walitulazimisha sana kuichukia Israel wakati wa ukomunisti. Leo hii watanzania tunajua ukweli kuwa hiyo yote ilikuwa ni chuki ya bure ili kuwaliwaza waarabu na azama zao za kutaka kuiteketeza israel.

Mungu ibariki Israel! shemaa alehemu alehemu adonai! maranataaa maranataaa!
 
nashangaa sana kuona viongozi wetu kulipenda jitu kama Arafat na lichama lake la ugaidi.
 
Kabisa kabisa

Hata Nasser aliukuwa nazo kali kupita hizi. Gadafi ndio kwanzaa alikuwa na nyeti kali zaidi, sasa jiulize mbona mpaka leo hawajaikomboa Jerusalem? Muisrael anatamba kila kukicha, akisema , ilikuwa vita takatifu nani kaiona jerusalem? waarabu kimyaaaaaa! Halafu anabonga tena nani alikuja kuibusu Jerusalem ambapo matunda ya kubusu kwake ni kunyang'anywa ardhi? waarabu kimyaaaaa!

Sasa ona Iran itakavyo shikishwa adabu! Bila Israel, mwarabu angeteka dunia. Ona jinsi Israel ilivyo lifuta group la Black september! hawa jamaa achana nao ndugu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom