Hali yaendelea kuwa Tete Mashariki ya Kati

Oct 8, 2023
23
24
Vita vinavyoendele mashariki ya kati vinazidi kuchukua Hali tofauti, kwa upande Mmoja Israel pamoja na washirika wake yaani ulaya na marekani Wana Kuna vichwa jinsi gani wataweza kuimaliza vita hii ambayo tayari imeingia mwezi wa tano sasa.

Upande mwingine hamas wanao onekana kama hawafanyi lolote kama ambavyo vyombo vingi vya habari vyenye mwelekeo wa kimagharibi vinavyoripoti taarifa za upande mmoja,wamekuwa wakipambana kwa nguvu zote kuhakikisha wanashinda vita hivi , nahili linaloonekana wazi mpaka leo Israel na washirika wake yaani marekani na ulaya wameshindwa kuwakomboa mateka wa vita 105 wa July 7 waliotekwa na hamas.

Iran kwa upande mwingine nayo imekuwa ikiwaunga mkono Hamas wa kimbinu na kisilaha ili kuhakikisha wanashinda Israel,ikumbukwe kuwa kuishinda Israel katika vita hivi ni sawa na kuishinda marekani na ulaya ,ni fezeha kwa mataifa haya.

Sura ya vita imegeuka kabisa ni vigumu kutambua kama si mfatiliaji wa mambo,imekuwa kati ya marekani na washirika wake, vs Iran ambayo nayo ikiwatunia washirika wake wa kimkakati anbao ni hizbullah ya Lebanon na wahudhi wa yemen pamoja na makundi mengine ambayo Iran imeyatengeneza ,vita imekuwa pana.
4c6aaecccfca682ga52_800C450.jpg
4bsdcd571c40a41cp6l_800C450.jpg
4bsfd52549c9601dhdz_800C450.jpg
 
View attachment 2907115View attachment 2907116View attachment 2907117
Unaongea mavi gani! Hamas walishasambaratishwa!
 
Back
Top Bottom