Taifa la Uchina lina miaka zaidi ya 4000, hivyo ni moja kati ya mataifa makongwe kabisa duniani. Katika kipindi chote hichi, limepitia mambo mengi sana: Mfano, liliwahi kuwa dola kubwa na tajiri zaidi duniani katika vipindi vitatu tofauti. Historia inasema kwamba Uchina ni jamii ambayo iko kijeshi sana (Highly Militaristic). Mtaalamu wa vita duniani, ambaye anasomwa zaidi na mpaka leo, Sun-Tzu alikuwa ni mchina, ambaye aliishi miaka zaidi ya 2400 iliyopita.
Sasa kiufupi, katika historia yake, kuna kipindi Uchina liliwahi kuwa taifa lenye nguvu mno kijeshi na kuna kipindi lilikuwa taifa dhaifu mno kijeshi. Baadhi ya vita kubwa lilizowahi kupigana ni hizi:
- Uchina dhidi ya Korea : 109-108 B.C
- Uchina dhidi ya Ugiriki : 104 B.C
- Uchina dhidi ya Waislamu (The Abbasid Caliphate) : 751 A.D
- Uchina dhidi ya Mongolia : 13th Century
- Uchina dhidi ya Uingereza: 1839-1860
- Uchina dhidi ya Urusi: 1639-1643
Nitaendelea nikipata muda.....