Tafadhali naomba mnisaidie, Visigino vyangu vinauma na nikinyanyua unyayo kwenye kisigino pana vuta kwenda chini kama pamefungwa kajiwe kadogo. Naomba msaada wenu wa kitabibu.
Tafadhali naomba mnisaidie, Visigino vyangu vinauma na nikinyanyua unyayo kwenye kisigino pana vuta kwenda chini kama pamefungwa kajiwe kadogo. Naomba msaada wenu wa kitabibu.
Umeshamwona daktari? Amekupa ushauri gani?
Kama bado unetegemea utatibu wa kwenye www, unacheza wewe.
Nitajaribu hii kitumkubwa njia rahisi ya kukusaidia weka mafuta ya mgando kwenye kisigino then koleza jiko la mkaa au chemsha maji kwenye birika then weka mguu ulopakwa mafuta kwa juu ili mvuke uchome kisigino maumivu yakizidi unatoa na unarudisha tena several times baada ya muda yataisha mie ni footballer na mara nyingi inatokea hasa kama navaa viatu vyenye njumu katika uwanja mkavu jaribu pia kuvaa viatu flat mara nyingi zaidi unapopata nafasi