Visa vya wanawake katika mahusiano

Visa vya wanawake katika mahusiano

We nae wenzako wanachunguliamo... Kujiridhisha ukimgundua utaskia niliweka kwa ajili ya tahadhari..
 
heheheheehheheeh we jamaa unichekesha sana
Ukishanyimwa ndipo utakumbuka huwa kuna ajali...maana ni mkoa ambao sina ndugu na wala sikuwahi kuota kama nitafika na nimeondoka sijamwambia mtu...lakini ningetunukiwa hata angesema tuunganishe tena mpaka msumbiji ningekwenda bila kinyongo.
 
Poyeee sasa nawe ukakubalije kirahisi rahisi hivo aise?

Yani ukashindwa hata kumtekenya tekenya nawewe bana lol
 
WEWE DEMU ALISHAKUKUBALIA. TATIZO UKAWA MZITO WA KUELEWA. INAVYOONYESHA HUYO DEMU ALIKUWA BADO HAJAGUSWA (BIKIRA) NDIO MAANA ALIKUWA MUOGA KUKUBALI MOJA KWA MOJA. AKAKUBALI KWA VITENDO. HIYO PAD ILIKUWA ZUGA TU KUTOKANA NA HOFU. NDIO MAANA BAADA YA KUREJEA SAFARI AKAKUONA WEWE NI ZUZU AKAKUMWAGA. WENGINE SA HIVI WANAMMEGA HUKO ALIPO. INAONEKANA UMEZOEA VYA KUNYONGA WEWE... VYA KUCHINJA HUWEZI
 
Mwanaume kama humtaki mwanaume hana ujanja.

Mbinu zetu tunazijua wenyewe. Eg.7

Niko period
Nimefunga kwaresma mpaka mfungo uishe
Nina fangas (unaweka vidonge) kumbe hata fangas huna.
Hizo mbinu ni dhaifu sana! Hasa ukizingatia mko room moja tena siku tatu zote?

Jamaa tu yeye ndio hakujiongeza.
 
Mimi niliambiwa hivo nililala naye mpaka morning bila kumgusa ni story tu.
Siku ya pili hivohivo ila namgusa chuchu kimtindo,
Siku ya tatu yeye mwenyewe alidai,maana alikuwa hoiiii anaguswa chuchu halafu dushe halizami,mbona alidai mwenyewe chezea dushe wewe!!!
Hiyo ndio akili sasa!

Eti jamaa kakaa nae siku tatu akafu kaondoka empty!
 
Huenda ilikuwa hivyo..maana huwezi mtegea mtu safari ukiwa period..bora ingetokea wakati teyari mpo safarini..Niliapa sitojilipua tena.Nikipata mialiko kama hiyo nakuwa muwazi kabisa nauliza period unaingia lini?..jibu la hapo ndipo litanipa msukumo.
Hahaaaa wengine huwa hawafatilii kalenda zao
 
Mkuu, ungemgegeda hivyohivyo!
By then nilikuwa kijana mtiifu sana nikiamini katika itifaki kwa kila jambo.Lakini kama ilivyo ada wanawake wa rika letu wanakuwa wameshatuzidi akili siku nyingi.
 
WEWE DEMU ALISHAKUKUBALIA. TATIZO UKAWA MZITO WA KUELEWA. INAVYOONYESHA HUYO DEMU ALIKUWA BADO HAJAGUSWA (BIKIRA) NDIO MAANA ALIKUWA MUOGA KUKUBALI MOJA KWA MOJA. AKAKUBALI KWA VITENDO. HIYO PAD ILIKUWA ZUGA TU KUTOKANA NA HOFU. NDIO MAANA BAADA YA KUREJEA SAFARI AKAKUONA WEWE NI ZUZU AKAKUMWAGA. WENGINE SA HIVI WANAMMEGA HUKO ALIPO. INAONEKANA UMEZOEA VYA KUNYONGA WEWE... VYA KUCHINJA HUWEZI
Mkuu umeusoma uzi kwa umakini kabisa?..niliweka wazi kuwa ni kweli nilijirisha kujua kama kweli yupo period..(nilidiriki mpaka kufubgua kapedi kaliko tumika ambacho alikaweka kwenye mfuko katika dustbin..niliamka usiku akiwa kalala)
 
Back
Top Bottom