Visa vya wanawake katika mahusiano

Visa vya wanawake katika mahusiano

Ungeweka sura ya kazi, uulize kakupeleka kote huko, "atatoa hatoi" hiyo pad alikudanganya tu
Kuna wengine kama mimi hatupatani na zile damu kabisa, ila Eve hiyo avatar inanikumbusha maandamano ya kupanda minazi kwa mguu mmoja wakati yamekatazwa.
 
Wanawake ni watu wazuri na watu wabaya sana.Akiamua kucheza na akili yako utafurahi.Niende kwenye mada husika nikirejea kisa kimoja ambacho mpaka leo namtafakari yule mwanamke.

Ni miaka kadhaa imepita.Nikiwa nasoma chuo.Kuna msichana nilimpenda na nilimfuatilia kwa takribani miezi minne pasina matumaini.Alikuwa ni dada anayejiheshimu sana.Lakini sikukata tamaa.

Kuna siku tunakaribia kumaliza masomo akaniuliza swali hili "unaweza kulala na msichana chumba kimoja na msifanye chochote" basi kwa kujitutumua nilijibu kwa ufasaha sana kuonesha sina tamaa ya fisi..kuwa hilo linawezekana kwakuwa kila jambo ni kuamua.Akajibu sawa amependa jibu langu.Ikapita muda sana.

Siku moja nilikuwa nimechacha vibaya mno..wakati huo mdogo wangu alikuwa ameajiriwa nikampiga mzinga..nlapata fungu fulani hivi lakujikimu wakati nimetoka tu kuitoa hiyo pesa,mara ghafla ikaingia meseji ya yule binti ninayempenda ikisema.."nikuombe unisindikize sehemu utakubali?"..nikawaza sijui kunanini tena..nikajibu ndio na wapi?..(akataja mkoa fulani hivii).Nikashtuka na kuwaza huyu anataka nimsindikize mkoani wakati hajawa hata mpenzi wangu inawezekanaje?.

Kama tujuavyo..mtaka cha uvunguni sharti ainame.nikabidi nimdanganye kuwa mimi sina pesa ila natamani ningemsindikiza (lengo lilikuwa sitaki kwenda).Lakini alisisitiza yeye pesa anayo atanilipia nauli ya kurudi na atalipia malazi.Nikamuuliza kwahiyo tutalala chumba kimoja?akasema NDIO..Moyoni nikasema Yes,yes..mtoto kanikubalia kistyle fulani hivi.Bila kuwaza sana nikajilipua sijamwambia mtu yoyote.lakini nikabidi niulize huko mkoani tunafuata nini?(akajibu kuna nyaraka fulani anafuata za mambo yake)

Siku ya safari ikafika nikajianda vyema.safari ikaanza tukafika mkoani akalipia lodge nzuri kabisa.Kwakuwa tulifika usiku maana ni mbali kidogo.ikabidi tupate chakula kwanza.Sasa kwakuwa ndio ilikuwa mara ya kwanza kuwa pamoja basi ilibidi tupeane zamu ya kuoga.(kichwani nawaza huyu mtoto leo ntamaliza kwakweli maana nna hasira ya kupiga misele miezi minne).

Ilibidi nitoke nje nikanunue rubber (usalama kwanza).nikijua leo ndio siku yakutunikiwa.nikiwa na furaha kabisa narudi nakuta kwenye dustbin kuna makaratasi yaliyofungiwa pad..NGACHOKA!!!..Nikabidi niulize kulikoni mama mbona nakuwa sielewi hivii..akanijibu niko period..(i was like...F*****).Ikabidi niwe mpole nikauliza tangu lini akajibu tangu jana asubuhi..Nikashangaa na kuhoji kwanini hukuniambia tangu jana mpaka mimi nimejilipua kuja kote huku what if ningepata ajali?(halafu nakuja tena huku napata hasara kamili).Kiukweli nichanganyikiwa maana nilikuwa nimeiva mbaya kabisa..chumba nilikiona kama dumu la lita 20.Nilitamani niondoke hata usiku huo.

Akanikumbusha..unakumbuka kuna siku nilikuuliza kama unaweza lala na mtu msifanye chochote..nikajibu ndio.Nkawaza mshenzi huyu alitega akiingia period tu ndio anichote twende huko kwenye mipango yake.Basi sikuwa na jinsi nikatulia tulikaa siku tatu chumba kimoja bafu moja lakini sikutunukiwa..ilikuwa ni mateso makali ya kumuweka simba mwenye njaa kwenye machungio ya swala.

Huwezi amini baada ya kurudi..mahusiano yakawa yanalegalega mwisho yakafa mazima.Nikajuta sana why i couldnt calculate the risk.nikawaza ingekuwa enzi hizi za "Hainaga period sisi tunakulagaaa" Hhhhhhhhh najua nisingepata hasara kamili...

Kama nawewe ushawahi kuchezeshwa kipekule na mwanamke changia hapa..Karibu ndugu.
Mkuu ina mana cku zote hukupga hata touch?
 
Ngoja nicheke alafu narudi yani toka kumekucha hii ni furaha yangu ya pili khaaa pole mnoo but alikuweza!!!!!

Yani maana yke huyo hakuwa na hisia na wewe
 
Ungeweka sura ya kazi, uulize kakupeleka kote huko, "atatoa hatoi" hiyo pad alikudanganya tu
Hapana hakunidanganya katika hilo..nilithibitisha nilipoenda washroom baada ya yeye kutoka..siunajua vyoo vya lodge ni vyeupe ..nilipata kuona blood clots..nadhani alienda badili pad huko sasa hakuflash vyema pad.
 
Inaonekana wewe jamaa ni descent sana. Huyu angekutana na nyang'au asingekaa akasahau maisha yake yote.
Nakubaliana na wewe mkuu..ni kweli enzi hizo nilikuwa kitunguu maji.

ILA SIKU HIZI...Ni mwendo wa weka mbali na watoto....Hainaga......sisi tunakulaga!...ubaya ubaya hakuna kupata hasara kamili.
 
Hv kabisa unafanya sex na mtu akiwa bleed????? hamuoni kinyaa? ptuuuuu
Siku hizi watu wamevurugwa...kutokana na excuse za wanawake kuongezeka kupitia period...team mafisi ilikuwa ikipata hasara kubwa sana.Unakuta unahudumia mwanamke..anatafuna pesa kisawasawa..siku unamualika mkutane hotel fulani...mnafika counter anaona kabisa unalipia room 50K hasemi kama hayupi vizuri..mkifika room unamnunulia na chakula..tena anataja kuku akauke vizuri...akishiba ni wakati wakulipa ndipo anapokupa ghasia ya moyo kuwa yupo period.

Sasa sijui alifikiri lodge ni kituo cha daladala mkae mpige stori tu.
 
Touch unapiga ila kiu inakuwa haikati..maana wakati huo damu inachemka sana...power tiller ilikuwa teyari kulima lakini shamba ndio lina visiki mbaya.
Dah hatari...sema ucngeonesha tamaa demu ungekamata alikufanyia kusud tyu
 
Ngoja nicheke alafu narudi yani toka kumekucha hii ni furaha yangu ya pili khaaa pole mnoo but alikuweza!!!!!

Yani maana yke huyo hakuwa na hisia na wewe
Huenda ilikuwa hivyo..maana huwezi mtegea mtu safari ukiwa period..bora ingetokea wakati teyari mpo safarini..Niliapa sitojilipua tena.Nikipata mialiko kama hiyo nakuwa muwazi kabisa nauliza period unaingia lini?..jibu la hapo ndipo litanipa msukumo.
 
Hapana hakunidanganya katika hilo..nilithibitisha nilipoenda washroom baada ya yeye kutoka..siunajua vyoo vya lodge ni vyeupe ..nilipata kuona blood clots..nadhani alienda badili pad huko sasa hakuflash vyema pad.
Pole sana
 
Nimecheka sana hapo if ningepata ajali, na mm niikawaza ungepata papuch na ajali upate usingewazaeee
To make the risk worth taking..it must be accompanied by huge reward. Sasa risk nilibeba na zawadi haikuwepo...nikajuta.
 
Back
Top Bottom