Ilikua 2011 niko chuga, kuna demu nilimpigia aje maskani nipate kugema, ile anafika home boyfriend wake ambaye anamhudumia akawa anampigia simu.
Demu akachukua rangi na mafuta ya mgando (alikua navyo katika mkoba) akaeka katika pedi akavaa, nikaambiwa "subiri nakuja" nikakubali kishingo upande.
Hayajapita masaa mawili karudi akaomba akaoge, nikachukua sim kuangalia conv. jamaa yake analalamika kwanini hakumwambia mapema kama ana bleed, katoka kuoga nikamkunja vizuri yule mtoto wa kirangi. Nilipoona story ya mshkaji nimecheka tu... Wanawake wana akili mbovu sana