Visa vya CCM vyaanza kuonekana Dar es Salaam

Visa vya CCM vyaanza kuonekana Dar es Salaam

H
Hee tena! Na mimi nimo kwa kuwa nimeomba utumie weledi wako kunifahamisha? Hata kama hivo ndivyo unavyodhani huoni basi kwa kufanya hivyo nilivyokuomba ungetunaufaisha wengi? Mimi nakusihi toa uozo woooote wa watu hao na pia toa ukweli wooooote ili uongo ujitenge na wewe weledi wako uhishimike
kuna haja gani ya kujadiliana na mtu asiyefikiri kama wewe? TRA itakusanya kodi za majengo nchi nzima au pale ambapo wapinzani wanaongoza halmashauri?

Kama kuna ujinga mkubwa mwanadamu anaweza kufanya basi ni kugoma kujifunza kutoka kwa wengine. Kama halmashauri mliyoiongoza kwa miaka leo inashikwa na mwingine, huku ni kutapatapa kuogopa kuwa watakusanya zaidi na mtaumbuka, na mbili mtashindwa kufanya propaganda. Nukta
 
HIVI UKIWA hamna akili na mipango MIPYA! Tumewajaribu ili tuone ni kitu gani kipya mnaweza kukileta hadi sasa hakuna ....MKO MULE MULE walikopita CCM...Mara Kodi ya mapango....mara ushuru wa kwenye MIGAHAWA... Bora tubaki na CCM wameshiba kupita hawa WAKIWA ...hawana JIPYA!
Ukawa hawajaribiwi wananchi wanawakubali
 
Hii si mara ya kwanza TRA kukusanya kodi ya majengo
Halafu ukawa waache ulofa wanalilia kodi kana kwamba itakwenda mifukoni mwao
 
tunataka maendeleo sio porojo, muolitaka mpewe umeya mumepata sasa munazua mengine, hivi mulisema munafumua mkataba wa UDA bado hamjaupata mshono?
 
tunataka maendeleo sio porojo, muolitaka mpewe umeya mumepata sasa munazua mengine, hivi mulisema munafumua mkataba wa UDA bado hamjaupata mshono?
Hatuitaji maigizo ya ccm tunataka kujua mipaka yenu
 
W
Ukawa hawajaribiwi wananchi wanawakubali
UNAJIPA MOYO! sasa hivi waliongia MKENGE na kuwakubali UKIWA wanjuuuuutah! Kisirisiri ongea na wananchi walioipigia kura hilo GENGE la WAPIGA DEAL usikie....... UKAWA IMEBAKI KWENYE KANDA ZA JAMII ZENYE ROHO YA PAKA TU!
 
Ndio hicho chuo chenu hapo lumumba kinafundisha ukabila
 
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) jijini Dar es Salaam vimeanza kufilisiwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mpango wa Serikali ya Rais John Magufuli kupoka vyanzo muhimu vya mapato ambavyo awali vilitumika kuendesha halmashauri za jijini humo, umekamilika na sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndiyo inayotarajiwa kuwa mbadala katika ukusanyaji mapato.

Vyama vinavyoumizwa na hatua hiyo ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Wananchi (CUF) ambavyo ndivyo vilivyo na wabunge na madiwani Dar es Salaam.

Charles Kuyeko, Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala pia Diwani wa Kata ya Bonyokwa (CHADEMA) amesema, tayari manispaa yake imearifiwa kwamba, kodi ya majengo kwenye manispaa hiyo itakusanywa na TRA na sio manispaa kama ilivyokuwa awali.

Hatua hiyo anasema itazuia shughuli ama ahadi zao kutotekelezeka kwa namna ambavyo walitaka iwe huku akikosoa hatua hiyo na kuihusisha na uhasama wa kisiasa jijini humo.

Hata hivyo amesema, wapo kwenye mazungumzo na serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na kwamba, serikali haioneshi dhamira ya kubadili msimamo wake.

Kuyeko amesema, ni vema serikali ikaachana na suala hilo kwani itakuwa chanzo cha kurudisha maendeleo nyuma na kuvuruga bajeti iliyopangwa na manispaa hiyo.

“Kwanza tunasikitishwa na hatua hiyo ambayo imeanza kutekelezwa baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi – UKAWA kuingia madarakani. Siku zote walikuwa wapi? Ni dhairi kuwa nia yao ni kutaka kuturudisha nyuma ili bajeti yetu ikwame.

“Kodi ya mapango ndio chanzo kikuu cha mapato katika kila wilaya ukiacha kodi za mabango na ushuru wa wafanyabiashara,” amesema Kuyeko.

Hata hivyo, utaratibu wa kukusanya kodi za majengo utaanza katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na baadaye kwenye manispaa zote.

Kuyeko amesema, manispaa yake imepanga kufikia bajeti ya Sh. 85 Bilion na zaidi kwa mwaka 2016/17 na kwamba kama serikali itatekeleza hatua yake ya kupoka kodi za majengo, itakuwa imevuruga bajeti hiyo.
ama kweli ccm hawaishiwi vituko. kwani sheria inasemaje juu ya hilo? au siku hizi ccm wakiamka ni kubadilisha tu kwa jinsi wanavyojisikia? makubwa haya.
 
Safi sana hii itaondoa fujo za wanasiasa kukomalia kuingia madarakani ili wakapige pesa manina za nimeipenda sana hii.
 
HIVI UKIWA hamna akili na mipango MIPYA! Tumewajaribu ili tuone ni kitu gani kipya mnaweza kukileta hadi sasa hakuna ....MKO MULE MULE walikopita CCM...Mara Kodi ya mapango....mara ushuru wa kwenye MIGAHAWA... Bora tubaki na CCM wameshiba kupita hawa WAKIWA ...hawana JIPYA!
Usipende kujaribu watu. Wameshinda kihalali si kwa huruma kama unavyowaza
 
Hao hao TRA walishawahi kupewa kazi ya Kukusanya kodi ya Majengo kwa Mkoa wa Dar Es Salaam, lakini kwa nini kazi hiyo ilirejeshwa kwa halmshauri za Manispaa, mimi na wengine kama wapo, hatujui. Vilevile TRA miaka ya nyuma walikuwa wanakusanya kodi toka kwa makampuni/watu wanaofanya biashara ya michezo ya kubahatisha (bahati nasibu, Casinos etc). Baadaye Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ikaanza kukusanya hayo maduhuli na mapato yaliongezeka kwa kiwango kikubwa. Mimi nina mashaka kama kutakuwa na ufanisi wa makusanyanyo ya kodi ya majengo chini ya TRA. Nasubiri nione.
Ilirudishwa manispaa kwa sababu walishindwa kukusanya kihakika. Tatizo hilo lilipelekea manispaa za dar kudai kwa nguvu zote kurudishiwa. Waliporudishiwa makusanyo yakaongezeka maradufu. Nafikiri tatizo wakati huo TRA waliona eneo hilo lililkuwa ndogo kwao, kwahiyo hawakulipa umhimu. Lakini zama hizi nafikiri watalipa umhimu na hivyo kukusanya itakiwavyo. Nafikiri wao wadai marejesho yao katika makusanyo hayo ili waweze kutekeleza bajeti yao. TRA ni ajenti wao wa kukusanya hiyo kodi.
 
Ni sahihi kabisa, kuhakikisha hakuna mgongano wa mahesabu baina ya manispaa na TRA, mkakati mzuri kabisa.
kwani hao TRA hawakuuona huo mgongano wakati hizo halimashauri zikiongozwa na ccm mpaka walipochukua wapinzani? mbona mna hoja za hovyo hivi nyie vijana wa lumumba?
 
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) jijini Dar es Salaam vimeanza kufilisiwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mpango wa Serikali ya Rais John Magufuli kupoka vyanzo muhimu vya mapato ambavyo awali vilitumika kuendesha halmashauri za jijini humo, umekamilika na sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndiyo inayotarajiwa kuwa mbadala katika ukusanyaji mapato.

Vyama vinavyoumizwa na hatua hiyo ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Wananchi (CUF) ambavyo ndivyo vilivyo na wabunge na madiwani Dar es Salaam.

Charles Kuyeko, Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala pia Diwani wa Kata ya Bonyokwa (CHADEMA) amesema, tayari manispaa yake imearifiwa kwamba, kodi ya majengo kwenye manispaa hiyo itakusanywa na TRA na sio manispaa kama ilivyokuwa awali.

Hatua hiyo anasema itazuia shughuli ama ahadi zao kutotekelezeka kwa namna ambavyo walitaka iwe huku akikosoa hatua hiyo na kuihusisha na uhasama wa kisiasa jijini humo.

Hata hivyo amesema, wapo kwenye mazungumzo na serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na kwamba, serikali haioneshi dhamira ya kubadili msimamo wake.

Kuyeko amesema, ni vema serikali ikaachana na suala hilo kwani itakuwa chanzo cha kurudisha maendeleo nyuma na kuvuruga bajeti iliyopangwa na manispaa hiyo.

“Kwanza tunasikitishwa na hatua hiyo ambayo imeanza kutekelezwa baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi – UKAWA kuingia madarakani. Siku zote walikuwa wapi? Ni dhairi kuwa nia yao ni kutaka kuturudisha nyuma ili bajeti yetu ikwame.

“Kodi ya mapango ndio chanzo kikuu cha mapato katika kila wilaya ukiacha kodi za mabango na ushuru wa wafanyabiashara,” amesema Kuyeko.

Hata hivyo, utaratibu wa kukusanya kodi za majengo utaanza katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na baadaye kwenye manispaa zote.

Kuyeko amesema, manispaa yake imepanga kufikia bajeti ya Sh. 85 Bilion na zaidi kwa mwaka 2016/17 na kwamba kama serikali itatekeleza hatua yake ya kupoka kodi za majengo, itakuwa imevuruga bajeti hiyo.

Ukawa mnachekesha, haya ndiyo matatizo ya kuingia mitini wakati wa vikao vya Bunge. Hayo yanayofanyika yamo kwenye hotuba ya Magufuli akizindua binge na ni kwa nchi nzima sio Dar tu. ni pamoja na kuzuia utunzaji Wa maduhuri ktk benki binafsi hatimae benk hizo zinatumia pesa ya selikai kama dhamana ya kukopa BOT.
 
CCM iache siasa siasa za kukomoana kwenye mambo ya kimaendeleo maana haisaidii zaidi inabomoa ..
Nadhani ni suala la kupongeza uamuzi huu kwani tuna uhakika asilimia mia moja zitafanya kazi iliyokusudiwa. Kama UKAWA walitaka kumess up basi wamewahiwa!
 
Hatua ya TRA kukusanya kodi ya majengo iliwahi kufanyika huko nyuma lakini mapato yalishuka kutoka na kuwa mwenye kujuwa kiwango sahihi cha wateja kulipa ni manispaa na ndo walioko karibu na wananchi. Changomoto kubwa ilikuwa ni jinsi ya Manispaa kufuatilia nani kalipa na nani bado hajalipa kutokana na Manispaa kukosa taarifa sahihi kutoka TRA. Unless kitengo cha wakusanya kodi za majengo kihamishiwe TRA bila hivyo mapato yatashuka! Badala ya TRA kunyang'anyana mapato na Manispaa ni vizuri wajikite kwenye vyanzo vipya unless wameishiwa ubunifu.
 
Magu ni mtu wa visasi
Uteuzi wa Bashite ni kisasi Kama alivyosema mwenyewe
Kodi ya majengo anamfanyizia meya wa Kinondoni aliesema haitaji msaada wa serikali kwenye elimu,na hili lilimuudhi sasa anamnyima chanzo muhimu cha mapato
 
Back
Top Bottom