kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,426
- 4,956
[emoji3][emoji3] Kwan ilikuaje mkuuScout ndo watu pekee walio wahi kuninyima raha pale nsumba boys...
Sent using kidore
Upo Kama mimisjawahi fua uniform toka nifike mpaka naondoka. Kazi ya from one hyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi upo 4m 1 nani alikufulia?sjawahi fua uniform toka nifike mpaka naondoka. Kazi ya from one hyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ukijichanganya kumgusa ni sawa na umebeba mkaa wa moto kichwani😁Kuna albino moja wa CBG alikuwa anavuta bangi hatari halafu fujo nyingi,kila Toleo ya simu ya Motorola anayo,tangu afike hadi amalize shule hajawahi kununua uniform ,anavaa yoyote atakayokuta kwenye kamba za kuanikia nguo