Visa na visanga vya misibani

Tunaweza pata hela halafu washeenzzz wakatukwamisha kwenda mbinguni kwa kutuzika daraja la mwisho....
Sasa hapo ndipo tutalazimika kununua kiploti chetu kabisa. Tunachinba kaburi, tunajengea tiles tunakunywa sumu tunafariki, tunazikwa tunaenda kumsaidia Mwendazake kuokota sadaka za malaika...

Hamna namna tena, yani K Vant itutese afu tena na mbuzi wanyee makaburi yetu? No way
 
Nina kawaida nikifika msibani naenda moja kwa moja wanakopika nikikuta hakueleweki nasepa..
 
Mh!, kwa mtogole anapata wapi eneo la kufuga kuku 600 na ng'ombe?.

Embu Rudia kuandika kwanza uweke vizuri uongo wako.
@Sky Eclat nilimwambia aliupiga mwingi sana Mtogole yote naijua shuka hadi hapo Chama kwa Mkunduge yote shuka Yemen hadi kwa Tumbo hamna nyumba inafuga kuku wanaweza fika hata 50. Japo mitaa yote hii sasa hivi wananunua na yanajengwa majengo ya maana miaka ijayo hata Sinza haitaona ndani.
 
Mie nilipofiwa mwanangu, kuna dada alikuwa anachangisha rambirambi kwenye Group fulani. Basi mwisho wa siku akaniletea hizo rambirambi… Baadaye akanambia kuna mtu alichelewa kucjanga kanitumia Tshs. 20,000/- nitakutumia. Mpaka leo hakuzituma, kila nilipokuwa namkumbusha ananambia naweka naweka mpesa ni mwaka sasa… mmmh!!!
 
Mm ningenyooka nae hadi kwa waliochanga... Yaani ningemdhalilisha kama manara kwa Barbra
 
Mie nilipofiwa mwanangu, kuna dada alikuwa anachangisha rambirambi kwenye Group fulani. Basi mwisho wa siku akaniletea hizo rambirambi… Baadaye akanambia kuna mtu alichelewa kucjanga kanitumia Tshs. 20,000/- nitakutumia. Mpaka leo hakuzituma, kila nilipokuwa namkumbusha ananambia naweka naweka mpesa ni mwaka sasa… mmmh!!!
Kuna watu wameshindikana aisee yani mtu anapiga hadi rambirambi🙄
 
Back
Top Bottom