Visa na visanga vya misibani

Daaah inabidi nipambane walau nikazikwe class A, uhai wangu wote nipo class Z hadi nikifa!!! Haiwezekani
Pambana ili ukifa uzikwe Kino (Makaburi ya Kinondoni) .Pale wanazikwa watu maarufu.Ila hata makaburi ya Kisutu,Tandale ,Chang'ombe,Wailes ,Kibangu yote yana madaraja.
So angalia usije zikwa daraja A kwa Mtogole kaburi lako likanyewa na mbuzi wa makaburini japo upo A😂😂
 
Mkuu acha uongo bana yaani mtu ameshakufa , kisha akagombanie kuzikwa kwa mfalme tena , kwel tena na hiki ni kituko cha msibani aisee , hebu nieleze anaanzaje anzaje kwenda kugombania kuzikwa pahala alipozikwa mfalme , huku yeye ameshakufa
mzee hiyo tamaduni ilikuwepo ni sawa na sasa wanajeshi wanaogombania nafasi za kwende kulinda amani Sudan ili walipwe pesa ya kutosha na umoja wa mataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilizani kubaguliwa ni mtu anapokuwa hai tu, Kumbe mpka mtu anapokwenda kuzikwa nako kuna ubaguzi? Classes za Nini? Ili iweje?
 
Back
Top Bottom