Visa na visanga vya misibani

Kule kwetu alifariki mama mmoja, alikua anazo anazo. Miradi yake ilikua ni pamoja na guest house ya vyumba 25, kuku 600 wa nyama na mayai pamoja na ng’ombe.

Siku ya karamu ya msiba wake, walichinja kuku kama 50, ng’ombe mmoja. Kulikua na buffet la ndizi nyama, wali mweupe, pilau, kuku chips. Kuku mchuzi. Kila mtu alipata soda moja.

Ule msiba mpaka leo unazungumziwa huku kwetu Kwamtogole.
Mkuu na umaarufu wote huu kumbe unakaa kwa mtogole hope so utakuwa ulishakabwa kabwa siku za nyuma😂😂
 
Wengine wanatumia misiba kama sehemu ya kukutania,wengi hulala misibani ili wapate chance ya kugegedana tena utakuta wengine ni wake za watu wengine ni ndugu wanakulana wenyewe kwa wenyewe!
 
nina shida na hizi takataka za sasa hivi,
Jitu limejichubua,
wigi chafu na lina nuka,
makucha marefu machafu,
limejipulizia pafyumu kali, kuzuia harufu za uvundo kutoka kule.
limeweka miwani ya jua hata kama liko kivulini
macho juu juu kuangalia wanao mtazama.
 
Wengine wanatumia misiba kama sehemu ya kukutania,wengi hulala misibani ili wapate chance ya kugegedana tena utakuta wengine ni wake za watu wengine ni ndugu wanakulana wenyewe kwa wenyewe!
Kweli..!Misiba ya watu maarufu mademu wengi uenda kutafuta madanga wala si kuzika😂😂
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom