chaos maana yake ni kikohozi kikavuu,wakuu Chaos maana yake nini
chaos maana yake ni kikohozi kikavuu,wakuu Chaos maana yake nini
hapana haupo nje ya mada, ni kweli Mungu ndiye ajuaye pekeeKwa kweli Mungu ndio anaejua kinachoendelea dunia
Huku nilipo nashindwa kuelewa kabisa kitu wanafanya
Hii lockdowns kuna kitu nyuma yake pia
Najua niko nje ya mada sorry
Sent from my iPhone using Tapatalk
Tutafute sisi au wewe mbona utegezi huo?Africa tutafte dawa yetu tujiponye then tukae taangalie movie ya ya USA & CHINA maana hawa jamaa naona wanatuchezea akiri
Sasa nikisema nitafute mimi pia itakuwa ni ubaguziTutafute sisi au wewe mbona utegezi huo?
Kivp MkuuSasa nikisema nitafte mm pia itakuwa ni ubaguzi
Naoneka sipendi kushirikiana na wenzanguKivp Mkuu
Acha siasa tuletee dawa yako tuioneNaoneka sipendi kushirikiana na wenzangu
Wewe unayo mingapi?Profesa ana miaka 37
Bongo had use prof had kichwa chenyewe kinakuwa kishachoka