Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
mmh ataanza maswal kibao... shoga zake watamsomea tu!!!!Mpe my wife wako asome
nb: hiyo avatar
...mmh ataanza maswal kibao... shoga zake watamsomea tu!!!!Mpe my wife wako asome
...Mweeh nini shida na wifi yangu tena
Mwenzangu kuna mtu mmoja whom aliwahi mpakia kwenye boda boda from my place sasa alichukua namba just in case akihitaji usafiri....juzi jamaa wa boda boda kaacha simu nyumbani na seem mwanamke wake alikuja kumtembelea,akapekua simu ya jamaa na kukutana na namba ya wifi yako akaanza kuchart naye....Huku akijua anachart na mtu wa boda boda akafanya kama anamspy juu yangu wakati huo huo mwanamke mwenzie akiwa na picha kichwani kwamba kamfuma anayemchukulia bwana....walipokuja kubaini tayari mambo yameshakuwa worse!
Kukwazika kwangu ni kwanini atumie utaratibu wa kunispy?
Isingetokea hiyo incident ningejua wapi udhaifu huu?
What if hata spy mwendewe angegeuka double agent ili aharibu huku na huku?
Na mengine yakufanana na hayo kusema kweli i was dissappointed sana ila atleast nina roho ya kusamehe mapema!
Dodoma kumekua kutamu,ngoja nikapige dili chapuchapu lol. Kufa kufaana ati
Hapo kwenye red ndio penyewe... Bila shaka my wifi amejifunza kupitia hilo
Akiwa ni mtu wa kujifunza atajifunza ila frankly binti kuwa na tabia za kwenye ndoa kabla ya kuingia kwenye ndoa husika inasababisha wakaka kuwa curious sana hali inayopelekea kuzeeka ukiwa bachelor na kuja kujiolea tu kwa kuwa umri umepita sana mwishowe ni kuwalelea wanao as wajukuu zako!
Mmh hapo umeniacha mataa
Wadada walio wengi hawaoneshi makucha yao kabla hawajakuwa commissioned ndoa...atajificha wee till umeoa tena ndoa yengewe iwe ya kikristo isiyokuwa na expire date, mjaaliwe walau mtoto mmoja kisha ufanye kosa kidogo la kibinadamu of which kipindi hamjaoana ungefanya yangekuwa dogo uone consequences zake...ikiwa nawe baba hukujaaliwa hekima kidogo nyumbani unaweza kupaona gereza!
Senkyuuuu...