Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Shusha kisa chako na wewe tufurahi mkuu
Mbona kimo humu? Ni mengi yalitokea siku hiyo ila kubwa kuliko yote usiku sikulala, lakini pia niliwahi kuliko kiumbe yeyote yule ,si wanasemaja 2hr? Basi mimi 5hrs before nilikuwa pale.

Utamu wa ndege haujawahi mwacha mtu, na ukubwa huu ndege nimepanda mara kibao ila naona vioja haviishi.

Mwaka jana kuna sehem nilikuwa naenda basi niko airport kuelekea dar basi kuna msanii mmoja wa kile nae kalikuwa kanaelekea dar amefika pale alikuwa kananukia perfume kali balaa kalipopita kila mmoja airport alitamani ajuwe ni perfume gani kapaka.

Nikasema hapana hii chimbo ya hii perfume naijuwa nikampigia mwarabu huyu kaka anauzaga perfume za kupima akikuchanganyia perfume lazima ukubali.

Basi si ndo akaniambia huyu msamii wakati anaelekea airport alipitia dukani kwake akasetiwa ndo akaelekea airport.

Nikajisemea nextime airport nzima watanikoma😂😂😂

Juzi tu kakatokea ka safari ka chap dar,nikampigia mwarabu siku mbili kabla nikamuekeza kesho kutwa nipitie kwakwe anichanganyizie ya kupandia ndege😃😃😃 akanambia siku hiyo nikivaaa nisipake chochote,ile muda naenda nipitie kwake.

Nikafata maelekezo ,nikamwambia staki iwe kali lakini nataka airport nzima waulize niwaachie no. Mweeeeee alinichanganyizie perfume 4 chap nikaelekea airport. Siku hizi siwahi sana na mimi najichelewesha kidogo🤣
Kwanza nilianza kumkomesha alonipeleka, pili tumefika tu wale wakaka wanakuja kutupokea mizigo nilisikia " dada unanukua"

Kwenye line ya ukaguzi nilikuwa naona watu wanaangaika kuniuliza. Ndani kuna sehem kama 3 za ukaguzi wale wadada kila mtu aliniuliza napaka perfume gani, mmoja nilimwachia no ya mwarabu.

Yeyote alonisalimmia siku hiyo kwa kunikumbatia basi mwaka mzima hiyo nguo alokuwa anaivaa hatopakaga perfume.

Mimi ile nguo nilokuwa nimevalia siku ile hata niifue vip itachukuwa miaka mitano perfumu ile kuisha.

Tangu nijuwe kwa mwaramu. Ni mwenye wa kwenda kupimiwa vichupa, leo nanukia hivi ,kesho vile.
Niseme tu pilikapilika za kupanda ndege naona kwangu hazitoisha maana kila ninapopanda naona kama vile ni mara ya kwanza.

Kuna wakati nilikuwa nawaza nivae kisuti matata maana wale wadada wa air tanzania wengine hata hawapendezagi, ila kuna wengine zile uniform zinawakaa balaa.ila baadae nikawaza huu uzi wanaopanda ndege wanavaa simple sio unavaa suti kama vile unaenda mahakamani 😃😀😀

Ndege oyeeeeeee!!!
 
Ahsante kwa kuleta kisa cha muendelezo
Naomba namimi namba ya Mwarabu wallah kama naisikia hiyo harufu ya pafume uliyopaka siku hiyo😅😅😅😅 umenitamanisha
 
Mbona kimo humu? Ni mengi yalitokea siku hiyo ila kubwa kuliko yote usiku sikulala, lakini pia niliwahi kuliko kiumbe yeyote yule ,si wanasemaja 2hr? Basi mimi 5hrs before nilikuwa pale.

Utamu wa ndege haujawahi mwacha mtu, na ukubwa huu ndege nimepanda mara kibao ila naona vioja haviishi.

Mwaka jana kuna sehem nilikuwa naenda basi niko airport kuelekea dar basi kuna msanii mmoja wa kile nae kalikuwa kanaelekea dar amefika pale alikuwa kananukia perfume kali balaa kalipopita kila mmoja airport alitamani ajuwe ni perfume gani kapaka.

Nikasema hapana hii chimbo ya hii perfume naijuwa nikampigia mwarabu huyu kaka anauzaga perfume za kupima akikuchanganyia perfume lazima ukubali.

Basi si ndo akaniambia huyu msamii wakati anaelekea airport alipitia dukani kwake akasetiwa ndo akaelekea airport.

Nikajisemea nextime airport nzima watanikoma

Juzi tu kakatokea ka safari ka chap dar,nikampigia mwarabu siku mbili kabla nikamuekeza kesho kutwa nipitie kwakwe anichanganyizie ya kupandia ndege akanambia siku hiyo nikivaaa nisipake chochote,ile muda naenda nipitie kwake.

Nikafata maelekezo ,nikamwambia staki iwe kali lakini nataka airport nzima waulize niwaachie no. Mweeeeee alinichanganyizie perfume 4 chap nikaelekea airport. Siku hizi siwahi sana na mimi najichelewesha kidogo
Kwanza nilianza kumkomesha alonipeleka, pili tumefika tu wale wakaka wanakuja kutupokea mizigo nilisikia " dada unanukua"

Kwenye line ya ukaguzi nilikuwa naona watu wanaangaika kuniuliza. Ndani kuna sehem kama 3 za ukaguzi wale wadada kila mtu aliniuliza napaka perfume gani, mmoja nilimwachia no ya mwarabu.

Yeyote alonisalimmia siku hiyo kwa kunikumbatia basi mwaka mzima hiyo nguo alokuwa anaivaa hatopakaga perfume.

Mimi ile nguo nilokuwa nimevalia siku ile hata niifue vip itachukuwa miaka mitano perfumu ile kuisha.

Tangu nijuwe kwa mwaramu. Ni mwenye wa kwenda kupimiwa vichupa, leo nanukia hivi ,kesho vile.
Niseme tu pilikapilika za kupanda ndege naona kwangu hazitoisha maana kila ninapopanda naona kama vile ni mara ya kwanza.

Kuna wakati nilikuwa nawaza nivae kisuti matata maana wale wadada wa air tanzania wengine hata hawapendezagi, ila kuna wengine zile uniform zinawakaa balaa.ila baadae nikawaza huu uzi wanaopanda ndege wanavaa simple sio unavaa suti kama vile unaenda mahakamani

Ndege oyeeeeeee!!!
Ukijamba perfume ya mwarabu bado inakua inaendelea kunukia mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom