viroja:Huyu mkulima yumo kweli?mbunge shambani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

viroja:Huyu mkulima yumo kweli?mbunge shambani

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Jan 15, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hivi jembe linashika hivi jamani ..nadani hakuna ambaye hajawahi kulima especially kama ulipitia st government school
  DSCF8095.JPG
  hapa tunaibiwa live
  2.JPG
  mbunge wa Ludewa
   

  Attached Files:

 2. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  huyu halimi bali anaweka pozi ili apigwe picha akiwa ameshika jembe.......nadhani wanapanda miti hawa, utalima huku umevaa sunglass kweli...mwisho wake atajilima mwenyewe.
   
 3. N

  Ndole JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huu wizi wa mchana kweupeee
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sijui kwenye hii picha watarudisha wala chenji kidogo?
   
 5. M

  Malunde JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Anajifanya amesahau alikotoka, Ujana mwingi.
   
 6. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Nonsense.
   
 7. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  anauza sura tu kwenye picha kulima gani huko?
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  kuna st government schools ambazo hakuna kilimo kabisa, i can witness for that.
  ila pozi lenyewe linalipa kiasi chake, hehehe :poa:poa:lol:
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyu mbunge siku za hivi karibuni anatafuta publicity kwa nguvu; sijui amesikia serikali inabadilishwa hivi karibuni nae anaona ajaribu bahati yake kwa mkweree hivyo anajitahidi kuuza sura!!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hizo labda za mujini hizo
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Inategemea na definition yako ya mjini. Nadhani ilitegemea na hali ya hewa, kuna sehemu mvua ina-beep tu
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  huyo aunt hapo nyuma yake anam-mind kichizi. Mtakatifu, mna undugu na huyo dada hapo aliejipakata mikono? LOL
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  kama wapi Dododma? ukiona st goverment hawana hata bustani za mboga za majani ujue ni uzembe wa ma head master wao.
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Jina lake Filikunjombe...ACADEMIA wapi na wapi?
   
 15. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Aah! Yule ambaye akina wenje walitaka kumtandika makofi nje ya ukumbi wa bunge. Bonge ya shololo!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  shololo ndio nini mwana?
   
 17. driller

  driller JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hawa ni wauza sura tuu..! tena hua wananiboa kweli wanapokua wanasema eti..! jamaniiii mimi nilitembea kilometa sita kwenda shuleee...! wakati hata jembe mtu hajui kushika asee hawa mimi huwa wananikera kweli kweli..!
   
 18. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa sasa ni wezi na wahuni tupu. Wewe huwezi kwenda shamba na pamba kali namna hiyo! Si bora angevaa gambuti na tisheti.
   
 19. driller

  driller JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hao ni wezi tu jamaa angu..! halafu wakiwa kwenye majukwaa ni usanii tu..! wanajifanya hali ya mtanzania wa chini inamuuma kweli kumbe ni mbwe mbwe tu za kuwateka ndugu zetu na mwisho wa siku kuwaibia...! yani jamaaa angu mimi ninakereka kweli na mijitu kama hiii...!
   
 20. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hilo ni pozi la picha
   
Loading...