viroja:Huyu mkulima yumo kweli?mbunge shambani

Siasa ni wizi mtupu...........MTI HUU UMEPANDA NA MHE. ...........MBUNGE WA..................LEO TAREHE.............. Mtu atapanda mti akiwa amevaa koti la namna hiyo. Thubutu........nenda kijijini kaone wanaopanda miti walivyovaa.
 
Back
Top Bottom