viroba at work

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
viroba noma kuna mtu kalala chini ya geti langu hapa Nyumbani kwangu najua hivi viroba tu au gongo
 
Huku Nyeri na Kisumu kuna vibuyu na mirija na hii ni kali kuliko kiroba, huyo jamaa angalia kwenye vitambulisho vyake atakuwa ametorokea tz maana huku wamama hawana mchezo amekimbia mapanga na maji ya moto
 
Back
Top Bottom