hayo mantenti hapo nyuma mazuri sana...sijui yanauzwa wapi niweke oda...
Kwa vyovyote wewe mshanajr ni Muumini wa dini sijui kama haya ndo maadili ya dini yako,wewe unapost ili kuwafurahi watu iko siku Mungu atakuhukumu kwa haki.
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo yake atavunjika ghafla wala hapati dawa
Nami nimetokea kuyapenda, ukipata mawasiliano nami uniambie....
Nami nimetokea kuyapenda, ukipata mawasiliano nami uniambie....