Vipodozi vya Victoria's Secret

Vipodozi vya Victoria's Secret

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Habari za jioni mabibi na mababu wa jukwaa hili.........

Nauliza wapi ninaweza kupata Vipodozi vya Victoria's Secret kwa bei ya jumla kwa Dar Es Salaam.

Na je nje ya nchi huwa vinapatikana wapi mwenye kujua ama mwenye uzoefu navyo tafadhali anijulishe.

Wasalaam CL
 
Kumbe mnapenda vitu vya Kimarekani eeeh....

Well, dakika mbili kutoka nyumbani kwangu kuna duka la VS. Na hapa mjini yamejaa tele.

Sijawahi kuingiamo. Najua wanauza intimate apparels etc.

Sasa kumbe na watu wa mavumbini wanahusudu mambo ya Kimarekani halafu kutwa kucha kujifanya kuongea mbovu dhidi ya wabeba maboksi:smile-big:
 
Kariakoo ule mtaa wa vipodozi kuna baadhi ya maduka waweza kupata kwa jumla
 
Wadada/ wamama mliopo humu jukwaa ni kujeni hapa tafadhali............ Hata kama hujui ila pitia hapa unaweza toka kitu!!!!

CC: Paloma, Ennie, Lisa, gfsonwin, cacico, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point, Nivea, Tina, lara 1, King'asti, Asnam, Elizabeth Dominic, Munkari, MankaM, Heaven on Earth, marejesho, Preta, sweetlady, Passion Lady, Lady doctor, atug, DEMBA, Vaislay, ladyfurahia, Kaunga, Neylu, miss chagga, sister, miss neddy, Zion Daughter, Nivea, Sista, Munkari, Chocs, Surprise, ICHANA, Nyamayao, KOKUTONA, Arabela, amu, Avemaria na wengineo!
 
Last edited by a moderator:

thax w@charminglady kwa kuniita. ila mambo ya vipodozi mie ni bonge la mshamba....
 
Hebu check Alibaba.com.........unaweza kuanzia hapo kwa kuagiza na utapokea mzigo ukiwa salama salimini.........😜
 
mi hata sijui mpendwa ...jaribu kugoogle labda
 
Hebu check Alibaba.com.........unaweza kuanzia hapo kwa kuagiza na utapokea mzigo ukiwa salama salimini.........

Asante sana Da. Preta, fursa ndiyo hizo aisee nimeona hivyo vipodozi vinapendwa sana pande hizi!
 
Last edited by a moderator:

Mimi sijui ila nmepita kama ulivyoshauri
 
Last edited by a moderator:
Jaribu merryrose huwa na baadhi ya collections zao
 
Kumbe mnapenda vitu vya Kimarekani eeeh....

Well, dakika mbili kutoka nyumbani kwangu kuna duka la VS. Na hapa mjini yamejaa tele.

Sijawahi kuingiamo. Najua wanauza intimate apparels etc.

Sasa kumbe na watu wa mavumbini wanahusudu mambo ya Kimarekani halafu kutwa kucha kujifanya kuongea mbovu dhidi ya wabeba maboksi:smile-big:

Kwa hiyo ni kwa ajili ya wamarekani tu?...kama mtu unabeba box na huwezi kutumia hizo vitu ni matatizo yako wenzio huku mavumbini hawabebi box na wanatumia.
 
Habari za jioni mabibi na mababu wa jukwaa hili.........

Nauliza wapi ninaweza kupata Vipodozi vya Victoria's Secret kwa bei ya jumla kwa Dar Es Salaam.

Na je nje ya nchi huwa vinapatikana wapi mwenye kujua ama mwenye uzoefu navyo tafadhali anijulishe.

Wasalaam CL

Unataka mzigo mkubwa? Tunaweza kuongea biashara nikakuchukulia na kukutumia bongo,unanilipa changu siku unayoutia mzigo mkononi
 
Kwa hiyo ni kwa ajili ya wamarekani tu?...kama mtu unabeba box na huwezi kutumia hizo vitu ni matatizo yako wenzio huku mavumbini hawabebi box na wanatumia.

Sihitaji kutumia vipodozi vya VS. Majuu kwanza wala si big deal kihivyo.

Na Kisura wangu hatumii yaho madudu ya bei rahisi. Anatumia L'Occitane (huwezi hata kulitamka wewe na wala vumbi wenzio)
 
Endeleeni kutumia vipodozi vya kifaransa na kichina ambavo kiafya haviko poa zaidi ya kuwababua ngozi zenu na kupata miuvimbe isiyoelezeka kisa ni elfu tano mtakoma sana
 
Back
Top Bottom