vipindi vingine navyoo???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipindi vingine navyoo????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by beibe nasty, Apr 27, 2012.

 1. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  jaman yan hapa saut sasa huyu mpanga vipind nae atazame jamn haaa eti kipindi kuanzia sa tano hadi satisa umekaa tuu mmh tuoneen huruma haya tena eti siku nyingne sa tatuu mpaka mbili break sa moja tuu daah komesha mbaya au wenzetu na nyinyi huko kwenu ni sawa na hapa
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Kweli hio haifai kwa mtu wa University inabidi vipindi kwa wiki viwe on average masaa 15 kwa wiki, tena hapo mnapata hata break ya siku nzima katikati ya wiki..., nadhani hawajui kwamba nyie ni watu wazima na mnayo mambo mengine ya kufanya na inabidi mpate muda wa kujisomea..

  Kumbe upo SAUT.., soma ndugu yangu.. all the best with your studies haya ni mapito tu miaka mitatu sio mingi yatapita tu hayo
   
 3. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mpenz sun wu nakwambia mebakiza mwaka mmoja hapa naona moto bt mungu atajaalia tuu tutapita nayo
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Wenzenu huku kuna cku ha2na vipindi kabisa.na kwa cku cnaga zaidi ya vipind viwili vyenye 2hrs lecture.
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Yeah ni kweli ushamaliza mbuzi mzima bado mkia tu..., ila ukweli ni kwamba wanawatesa sana.
  Ila labda ndio wanawapika vyema mkitoka hapo kweli mtakuwa mmeiva vya kutosha na kuweza kufanya multi tasking
  :)
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  udom au?
   
 7. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...sasa ishu kama hii si uitupie tu FB...ushee na wenzio wa saut.....
   
 8. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Staki sasa wanilazimisha
   
 9. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Karibu udom...full kurelax! Kozi tano unachagua kipindi kimoja kila cku na semina moja au unasoma vyote jtatu mpaka jtano then kuanzia alhamis wkend..!Teh teh! Raha kusoma chuo cha kata anyway....ila huwa nawish ningepataga SAUT...unasoma mambo mengi, unaerevuka na kupevuka akili...kaza buti mwayego!!
   
 10. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tanx mamiloo sema dats our advantages kuwa ni nakuwa competent mambo meng meng so wacha nikaze buti tuu sabry
   
 11. n

  ngarambe Senior Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku udsm full bata,,, hamna mambo hizo ya saut. Everyday is wkend....karibun
   
 12. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hawa jamaa wa SAUT wanakifanyaga chuo kama secondari zao za seminary, muda c mrefu wanafunzi wataanza kula chuoni maana uniform tayari, mabinti wote sketi na magauni kwenda mbele.
   
 13. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jaman acha tuu
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Dah!huku ud kozi 6 tu znatutoa watu knock out,cjui nyie mnaosoma kozi 12 inakuwaje huko!
   
 15. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kifo baby
   
Loading...