Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Gem ngumu Sana hii.
Kwa sisi YANGA gemu laini kama vile Simba wanang'oa viti vya uwanja wa Taifa..
Gem ngumu Sana hii.
Leo wanapigwa kama kawaida......
Naona jukwaa la Simba kule mmekuja na vigoda, miswala na mikeka....
Hakuna viti kabisa baada ya jana ninyi simba kuvivunja...
Leo yanga anashuka dimbani katika kuendelea kuikamilisha raundi ya kwanza ya Ligi Tanzania Bara.
Jana watani wao wameshindwa kuvumilia matokeo wakaamua kumalizia hasira zao kwenye mali ya umma.sasa je Yanga na nyinyi yakiwakuta leo ya kufungwa au kutoa droo mtakua kama wale wanywa viroba wa Msimbazi?
Je kuna nafasi za kutosha kweli leo uwanjani maana simba walitoroka zoo wakaja kungoa viti wakidai eti wanahasira.
Yote ya yote nawaombea mfungwe ili ile timu yetu ya wananchi Mbeya city izidi kuwapoteza.
VIVA MBEYA CITY FC
KUTOKA LIGI DARAJA LA KWANZA MPAKA UBINGWA LIGI KUU
Hii mechi leo haina mvuto kabisa
Hivi wale waliong'oa viti uwanjani walikiwa mashabiki wa timu gani?!
i hate yanga kutoka moyoni
Hivi wale waliong'oa viti uwanjani walikiwa mashabiki wa timu gani?!