Vipi Yanga leo Taifa?

Vipi Yanga leo Taifa?

kama kweli ngoja tuone, but futa 1 weka 0

Jana kwenye kikao chetu cha kamati ya ufundi kule mlima kolero ndio tuliona matokeo hayo. Ngoja tungojee mpaka mwisho, maanake huwezi jua, siku hizi kila mtu mtaalam kwenye african hi-tech. Lakini vyovyote vile, Yanga aminiiiaaa mwanawane!
 
Back
Top Bottom