Vipi weekend unakutana na msichana wa hivi?

Vipi weekend unakutana na msichana wa hivi?

Unamuomba outing msichana mnafika sehemu husika, of course itakua ni sehemu mashuhuri na ina watu wengi. Anakuja muhudumu wewe unaagiza kesto light yako baridi.

Zamu ya binti kuagiza anaagiza, dada naomba mzinga mkubwa wa konyagi. Muhudumu anamuuliza utachanganya na soda gani? binti anajibu ntachanganyia na safari ya baridi.

Muhudumu analeta vinywaji na glass anaweka mezani. Binti anamuambia mhudumu, samahani dada naomba niletee kiroba original nisuuzie glass maana nikiweka hivi itaaribu fleva ya konyagi.

Weekend njema.

Huyo cyo demu bali ni kahaba,,,!!! Katika maisha ya kawaida huyo hafai hata kuwa mpz wako wala rafiki ako!!!!!!
 
Huyu demu ni safi kwa kugegeda usijari gharama we jali raha atakayokupa.
 
kabisa we ndo ujiongeze unamweza au uwezi maswala ya kujifanya nakunywa juice ya embe sukari inichefue aku mie nipe bapa nikate mafuta mie

huyo ndio mzuri hakika wa kuwekwa ndani huhuhuhuhuhuuuuuuu
 
huyu anakiu sana aisee ndo maana alafu anakata mafuta kwa kitu ngumu so sio mbaya ha ha ha ha
 
I will Rest in Peace there there....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom