Vipi tena huyu Dulla Makabila?

Vipi tena huyu Dulla Makabila?

Mkuu hebu weka picha yake ya kawaida tumuone alivyo aisee...!
Huyu hapa mkuu.
Screenshot_20200210-182709.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo ninejua kuwa jamii nyingi za kiafrica zinamtazamo hasi dhidi ya mwanamke,ambapo mwanamme hapaswi kutamani kuwa mwanamke,lakini hapo hapo huyu kama angekuwa mwanamke akatamani kuwa mwanamme angeonekana shujaa kwa viswahili vya vijana wanasema wangemuona yeye ni jembe.

Africa wake up !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom