Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,
Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,
Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.
Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?
asanteni sana kwa ushauri wenu, tiyari hela nimezirudisha toka jana