Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,

Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,

Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

hizo 30,000 alizokupa ni 10,000 tatu? 5,000 sita? au 10,000 mbili na 5000 mbili? nauliza hivi ili nijue 8,000 aliyotakiwa akurudishie ameichanganya vipi akupe 30,000.
 
aiseeeee hilo nalo mpaka uulize jf????
Aisee utakua unaongoza kwa uchoyo JF umepewa like 5597 wewe umetoa 17 tu!!! Hahahahaha duh! We noma! Ni mnyimi asili na kwa kila kitu au likes tu dada?
 
Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,

Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,

Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?
Huyo mama analia huko aliko asijue nani kamchomolea, jiongezee heri kwa kumrudishia na kumwambia alivyofanya kosa.
Heri yake na furaha itakuongezea milage ya matendo mema!
 
Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,

Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,

Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Nakushangaa sana na nitazidi kukushangaa kama utakuwa hujaenda kurudisha hela ambayo unajua kabisa si halali yako! Rudisha haraka ebooo!
 
Mtukane hakaf kunywa novida kwa mpemba ntalipa

Khe khe khe khe heheiiii, eti mtukane hakaf kunywa novida kwa mpemba ntalipa. haya majanga
na wewe kumbe una hela zaidi ya kuwa na najero ya kununua vocher za budle
 
Nakushangaa sana na nitazidi kukushangaa kama utakuwa hujaenda kurudisha hela ambayo unajua kabisa si halali yako! Rudisha haraka ebooo!

Mkuu toka jana rishaludisha,
 
Bora huo atakuja omba ushaur wa jinsi ya kutia dushe kwenye papuchi very childish and boring jitu zima akili ziko kwapani

bora mimi wenye akili kikwapani wewe za kwako ziko kwenye papuchi!!!!! vyooooo,
 
nashukuru sana kwa wale chukua mida yao kw kunishauri na wale wa kunitusi na wao pia nawashukuru maana kwenye kundi kubwa la watu lazima kuwe na mataira na vichaa. zile hela tangu jana nimeziluridisha

f**ng thread!
 
Sasa hiyo ni chenji au? Maana kwanza hakuna chenji ya elfu 30. Labda uwe kwa Mugabe. Na wewe macho hayakuona? Au ndio hujui hata kukadiria?
 
Back
Top Bottom