Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Nilijua kuna kitu cha maana kumbe up.....zi tu
 
We jamaa wewe nina mashaka na wewe aseee seriously? mpaka kuhusu kitu kama hiki mtu ni haki yake then wauliza?
Ngastuka naisi ulikuwa wataka usimrudishie ila umeleta huu uzi ili uone watakao kuambia umrudishie watakuwa wangapi na watakao kuambia usimrudishie!
Cc mamaafacebook
 
Last edited by a moderator:

Si ndo huyu kanambia me shangingi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ningefurahi kusikia kwamba umerudisha hela ya yule mama mtaabikaji ili aweze kuendelea vema na biashara yake.
 
aiseeeee hilo nalo mpaka uulize jf????
miss neddy! Siku hizi JF ni kama kituo cha marafiki wa kushauriana! Imefika mahali hata mtu akigombana na mkewe anakuja kuulizia JF kama huo ugomvi ni halali au namna gani - hasa mmu
 
Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,

Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,

Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

du, jaribu kuangalia ulichoandika kama kina uhalisia!!
 
We mleta mada umechukua hela za watu kwa mazingaombwe/chumaulete halafu unazuga.Mrudishie wewe,acha hizo!
 
nashukuru sana kwa wale chukua mida yao kw kunishauri na wale wa kunitusi na wao pia nawashukuru maana kwenye kundi kubwa la watu lazima kuwe na mataira na vichaa. zile hela tangu jana nimeziluridisha
 
hahahaha ve mudesi ve. uniya mgaya mugoda.
 
Ndio nimeuona huu uzi sasa hivi,sasa naomba ushauri,Nimshauri huyu mtoa mada au nisimshauri?
 
Back
Top Bottom