Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,

Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,

Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

Mkuu mrudishie pesa zake,ukizitumia ni Dhulma ambapo Dua ya anaedhulumiwa Mungu anapokea na kuijibu.
Sasa kama unamuogopa Mungu basi rejesha pesa yake na Mungu atakupa fungu lako.Usimpe shetani nafasi baada ya kupata hiyo pesa ukaona matatizo yanaingia ili uitumie.
Na pia hujui yule mama anamlalamikia vipi Mungu juu ya upotevu wa pesa yake.
Mungu anajua zaidi yaliyomo kwenye Mionyo yetu.
 
b4 hujaulza hpa we unajifikilaje kama ungekua ndo ww unaeuza hz xamak alaf ukamzidishia m2 chenj
 
Jamani asanteni kwa ushauri wenu,,! haina haja tena ya kuendelea kutoa hoja maana tiyari hela nimeshurundisha.
 
Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,

Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,

Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?
Return the money please.
 
asanteni sana kwa ushauri wenu, tiyari hela nimezirudisha toka jana
Heri umerudisha, maana nikifikiri unafanya zoezi la chuma ulete.
 
Naombeni ushauri wa haraka haraka wana jf,

Kutokana na wife kwenda home sasa najipikia ili kupunguza garama ya kwenda kwa mamantilie,

Nimefika home kutoka kazini
nimeenda kununua samaki wa tsh 2000 nikampa shilingi elfu kumi akanipa chenji, lakini cha kushagaza nimefika home nimengudua amenipa chechi ya elfu 30,000.

Vipi nimrundishie huyu mama hela zake?

asanteni sana kwa ushauri wenu, tiyari hela nimezirudisha toka jana

Nimeikwepa hiyo...uongo huo 😎
 
Back
Top Bottom