Vipi na hii mtaigomea nayo?

Vipi na hii mtaigomea nayo?

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,120
Reaction score
190,520
61B8CE3D-325A-4238-80D0-F2F0D5C4DC45.jpeg
 
Kama ni kweli tutegemee mauzo ya kinga (condom) kushuka kwa kasi.

Napata hisia kwamba ni hiyo hiyo chanjo ya Uviko 19 imegeuzwa kuwa ya HIV, watu wapigane vikumbo kuchanja.
 
Na vichwa maji wengi watanasa,,, wakiamini wakilana kavu hawatapata...

Nafikiri baada ya miaka kadhaa tutaanza kupata tena chanjo za kuzuia madhara ya chanjo za sasa hivi...

Tujipe muda,, Ila huu uzi kama humu sio jukwaa lake,, unaleta sonona kwa wazee wa kula kimasihara
 
Kama ilivyo covid ukichoma unavaa barakoa hata hii chanjo ya HIV utatakiwa kuvaa ndom kama kawa

#Source JoanahNews 😁
 
Wazinzi watashangilia kwelikweli na ndio haohao waliokuwa wanasema mabeberu wanataka kuwauwa kwa chanjo ya corona..
 
Back
Top Bottom