Vipi maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma?

Vipi maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma?

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,470
Kuna jambo linanishangaza kidogo, embu tusaidiane.

Kila siku naona ziara za kutembelea ujenzi wa uwanja mpya wa Arusha, ila sijawahi kuona wala kusikia maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma. Je, uwanja huo haupo katika plan za AFCON?

1000086538.jpg

1000086540.jpg

Pia nina wasiwasi sana hizi ziara za uwanja wa Arusha zinaweza kabisa kuwa zinaharibu ratiba na utendaji wa mafundi ujenzi na mainjinia maana kama zimekuwa nyingi sana na hazina tija yoyote. Ujenzi usipokamilika kwa wakati tutaanza kunyoosheana vidole na kusema tumehujumiwa.

1000086539.jpg


Tupeane update za ujenzi wa uwanja wa Dodoma.

PS. Binafsi nadhani na naamini viwanja vya Arusha na Dodoma vilitakiwa kujengwa Mwanza na Mbeya.
 
Dodoma hakuna on going construction yeyote..lipo jiwe la msingi tu.

Ungekuwepo ujenzi hata wa 1% wangeshapiga piga picha lukuki...

We unajua machawa wamekuwa wengi
So ubunifu ni muhimu wa kujiokotezea vihabari ni ili kumfurahisha Rais.

Halaf anayetafutwa kufurahishwa eti ni samia tu......watu hawangaiki na Waziri mkuu, wala Spika, wala Makamu wa Rais, Jaji mkuu nk....japo wote ni viongozi wazitoo.
 
Dodoma hakuna kitu chochote zaidi walisafisha eneo tu
 
Back
Top Bottom