Vipi kuhusu zile ajira za kuhamia UDSM?

Mp19

JF-Expert Member
May 3, 2019
259
715
Wazee kwema?
Mwenye info kuhusu zile chances zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa watumishi wanaopenda kuhamia anijuze.
Vipi watatoa majina kwa watakaofanikiwa kuchaguliwa au watawasiliana na wahusika direct ili kukamilisha uhamisho wao?
Asanteni.
 
Kuamia kutoka wapi?
 
Vuta Subira mkuu,mimi niliomba kuhamia taasisi moja ya serikali,nilisubiri kama mwezi na wiki 3 ndo wakanitafuta,hawakutoa list
Wazee kwema?
Mwenye info kuhusu zile chances zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa watumishi wanaopenda kuhamia anijuze.
Vipi watatoa majina kwa watakaofanikiwa kuchaguliwa au watawasiliana na wahusika direct ili kukamilisha uhamisho wao?
Asanteni.
 
Huo ni uhamisho na sio ajira mpya. So zitafuatwa taratibu za Utumishi wa umma katika kushughulikia uhamisho ikiwa ni pamoja na kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi then itatumwa barua yako ya uhamisho na itatakiwa kupitishwa na mwajiri wa sasa ndipp utaondoka. Vuta subira.
 
Pamoja chief
 
Back
Top Bottom