moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Kuna taarifa katibu wa kimataifa leo anaongea na waandishi wa habari
Mwenye taarifa atusaidie
Mwenye taarifa atusaidie
Yes, hii imekaa poa.Taarifa hii
Hebu tujadili ni kweli yanga hakuna kamati ya uchaguziTaarifa hii
Mkuu nani amekuambia au alikupigia cm privately kukujuzaNasikia Manji hachukui form ya mwenyekiti
Hii ni taarifa njema kwa maendeleo ya Soka.Nasikia Manji hachukui form ya mwenyekiti