Siku hizi vyombo vya habari wanaripoti taarifa zisizo za kiuchunguzi na hiyo hupelekea watu kutofuatilia sana radio na hata waangalia taarifa wanapungua sana hii inaonyesha
Kuna changamoto ya habari yawezekana hatuna waandishi wa habari za uchunguzi au mifumo imebadilika MVUTO wa kusikiliza vyombo vya habari unakufa Kwa Kasi waandishi tulifanyie kazi na hata wasomaji wa magazeti wanakwisha